GE2025 Wanafunzi wa Idete Sekondari wawaomba Vijana wamchague Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu

GE2025 Wanafunzi wa Idete Sekondari wawaomba Vijana wamchague Rais Samia kwenye Uchaguzi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wanafunzi wa Kidato cha Tano kutoka Shule ya Sekondari Idete wamewaomba wanafunzi wenzao waliofikisha umri wa kupiga kura kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Wameonyesha furaha yao wakimtaja Dkt. Samia kama kiongozi anayewapa hamasa ya kukazana kimasomo ili kuwa viongozi hapo baadaye.

 
Wanafunzi wajikite kwenye elimu tafadhari.
 
Wanafunzi wajikite kwenye elimu tafadhari.
 
Back
Top Bottom