acha uzezeta na ukichwa maji, wewe usiyejua kusoma maana inaonekana hauna utofauti na hao jamaa walikuwa wamejaa kwenye feri bila kujua nini kitatokea mbeleniUsitetee uzezeta. Kichwa cha habari na habari yenyewe kifo na usingizi ukiachia mbali kujikanyaga. Kuna nini la lipi hapa gumu la kutafuniwa. Jaribu kupitia maoni yote uone ulivyochemsha hata kama uking'aka vipi mwanangu Mwanaweja.
Unachokisema nakiunga mkono lakini, kwa maana ya mazingira, ni juu yao kichagua kipi kilitokea mbeya kitafaa kigamboni. Kila mtu humu atatoa uzoefu na nini kifanyike kutegemeana na mahali alipoupata uzoefu huo. Si mpaka uwe umekaa kigamboni ndo utoe uzoefu wa huko. Kuna comon logic ambayo ipo applicable popote regardless hapo mahala panafananaje. Kwa mfano, amezungumzia kujazana kwenye feri, huko MTC hakuna feri etc. Na vile vile kasema idadi yao inatosha kabisa kukomesha tabia hizo hapo chuoni. Wao waikuwa 150, lakini IFM wapo 600. Ni wao kuamua tu.binafsi nakuunga mkono kwa point yako ya kupinga hao wanachuo kujazana kwenye kivuko kwa lengo lao la kushinikiza madai yao. uko sahihi kabisa. tatizo langu topic yako iko vipande vipande...ungeiweka pamoja katika para. pili sioni kama ni sawa kulinganisha mazingira ya Mbeya na Dar...mazingira na watu ni tofauti katika maeneo hayo mawili. otherwise concern yako ni sawa!
acha uzezeta na ukichwa maji, wewe usiyejua kusoma maana inaonekana hauna utofauti na hao jamaa walikuwa wamejaa kwenye feri bila kujua nini kitatokea mbeleni
Ni kweli jamaa kakosea kuweka post yake kivipande vipande, lakini makosa yake hayawezi kuyafanya makosa yako yawe sawa. Nashauri 'ukonsentreti' kwenye kilichomo badala ya jinsi kilivyo. Na uliyeianzisha mada hii nawe wakati mwingine tuwekee mambo yako kwenye post moja badala ya vipande vipande. M'barikiwe nyote....Issue si kwamba sijui kusoma. Utawekaje habari in piecemeals utegemee watu wapoteze muda kufuata mparaganyiko wako? Kama unaona wewe ni bingwa wa matatizo basi nenda kawasaidie badala ya kupayuka tu. Right?
Maisha Magumu Jazz Band
unaongelea mazigira gani ambayo yako kigamboni? ina maana hata wewe unashabikia ujinga waliufanya jana hawa jamaa? inakuwaje mnakaa kwenye feri bila kuwa na tahadhari ya kuwa polisi wanaweza kubadilikia na kuwapa kichapo na je, munaweza kujinasua kwa njia ipi? hilo nalo linahitaji uende chuo kikuu? kufanya ulinzi kwenye mabweni yao au mazingira yanayo wazunguka nayo inabidi waende kozi? tusiwe wavivu au washabiki wakusahabikia ujinga bila kuja na nini kifanyike
binafsi nakuunga mkono kwa point yako ya kupinga hao wanachuo kujazana kwenye kivuko kwa lengo lao la kushinikiza madai yao. uko sahihi kabisa. tatizo langu topic yako iko vipande vipande...ungeiweka pamoja katika para. pili sioni kama ni sawa kulinganisha mazingira ya Mbeya na Dar...mazingira na watu ni tofauti katika maeneo hayo mawili. otherwise concern yako ni sawa!
safi sana wewe mkuu angalia mziki tuliokuwa tunaufanya pale MTC mwizi au kibaka akimatwa lazima ateje aliemleta pale chuoni na kama hajataja kichapo kama kawaida na baadaye tulikuwa tunawapeleka polisi lakini ameshalowa jiti kama kawaida na hata akitaja lazima akirudi mitaani anaalama za MTC kichwani kwa kutumia nyembe kichwa kinaandikwa MTC
maisha magumu kweli unapewa bum bado unavamiwa wanakupeleka had ATM wanatoa hela zako zote Kwny ATM hakuna walinzi uktoa taarifa police unaambiwa tutafatilia unategemea nn hapo kk
kwanza napenda nitoe historia ya MTC kidogo MTC ni chuo kilichokuwa kinaundwa na kozi zifuatacho: Mechanical, Electrical, Civil, na Architecture engineering japo ilikuwa ni elimu ya Fundi mchundo lakini ilikuwa nielimu ya Chuo kikuu kwa 75%. kwanini nasema hivyo? kwa sababu wanafunzi walikuwa huru sana hatukuwa na uniform za kuvaa tulikuwa tunaishi maisha ya raha mastarehe kama kufikwa (kuleta mwamke/msichana) ilikuwa ni ruksa na ilikuwa ni fahari kwa mkuu wetu wa chuo kipindikile Mzee Zuberi. Masomo yalikuwa magumu sana na tulikuwa tunaandaliwa sikuendelea na shule bali kwenda kufanya kazi. Maana kipindikile kwenda Chuo Kikuu bila na kuwa na B ya mathematics na at least masomo yako wastani wake lazima uwe C huwezi pata. Nje ya hapo kuapata hata cheti ilikuwa ngumu umesoma miaka yako 3 kwa kuruka viunzi kila term na mitihani yake ukifail nyumbani na mwishoni sasa unakusanya material yote ya mwaka wa kwanza unafanyia mtihani wa kwa masaa 3. Si hivyo tu ukipata "A" 5 kati ya masomo 6 ukafail moja hupati cheti na ukirudia mtihani ukafail mara 2 basi cheti hupati milele, ilikuwa ni bora kupata "D" zote iliuweze kuchukua cheti. Lakini istoshe kuipata hata 'D" haikuwa rahisi maana range yake D=(50-69), C=(70-79) B=(80-89) A=( 90-100)haikuwa rahisi sana wadau kuweza kuendelea na chuo kikuu au hata elimu ya juu
kwa hili hakuna kujitetea kwa kusema "mazingira hayafanani" basi kama ni hivyo nyie hamfai kuwa wapiganaji, kwa mpiganaji hakuna cha mazingira. mimi nilikuwa Tanga Technical zamani, tulikuwa tunapaita Kiungani, hapakuwa na askari wa kulinda shule lakini eneo la shule hakatizi mtu, anaweza kufa, na mabweni hayafungwi mulango tukiwa madarasani.binafsi nakuunga mkono kwa point yako ya kupinga hao wanachuo kujazana kwenye kivuko kwa lengo lao la kushinikiza madai yao. uko sahihi kabisa. tatizo langu topic yako iko vipande vipande...ungeiweka pamoja katika para. pili sioni kama ni sawa kulinganisha mazingira ya Mbeya na Dar...mazingira na watu ni tofauti katika maeneo hayo mawili. otherwise concern yako ni sawa!