Kuna mmoja anajifunza kazi gereji sasa fundi wake akimpa kazi huwa anamtoa kama kawaida na kwa siku hakosi 8000 au kumi hivi. Juzi nikamuuliza kati ya elimu na hela kipi bora? Akaanza unajua braza hili swala pana sana.
Nikajua kashabadilisha mtazamo huyu.