Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

Kwani huko zamani ilikuwaje
 
Ndio maana nimependekeza mtoto aanze la kwanza na miaka 4 amalize form four na miaka 13 ili miaka 14 ahesabike kama mtu mzima
 
Good
 
Hata wasipowaambia hawana uwezo wengi kutokana na Mila za huko watoto wakike wanaharibika mapema.

Chumvi ina thamani kuliko mwanamke huko, walioishi lindi na mtwara wanalifahamu hilo.
Duh nipo Mtwara now unaenda wiki ya tatu wakati nilipanga kukaa siku 3 tu Mtwara raha nyie
 
Ndio maana nimependekeza mtoto aanze la kwanza na miaka 4 amalize form four na miaka 13 ili miaka 14 ahesabike kama mtu mzima
Sheria ya Mtoto, Katiba ya Nchi zinasema mtu aliyechini ya umri wa miaka 18 ni mtoto.

Sheria ya Ndoa, na Sheria ya Mikataba zinasema mtoto hawezi kufanya makubaliano ya kisheria.

Kwa hiyo, huwezi kusema mtu wa chini ya umri wa miaka 18 afanye makubaliano ya kufunga ndoa.

Mtu aliyechini ya umri wa miaka 18 anahesabika kwamba hana uwezo wa kutosha wa kuchanganua mema na mabaya.

Kwa hiyo kile kiapo cha kuwa pamoja katika shida na raha kwake ni batili kwa sababu watoto hawajui shida bali wanajua raha tu.

Upo?
 

Age of consent in Germany is 14 years old.

UK is 16 years.

Us kwenye majimbo 34 ni 16 yrs na yaliyo baki ni 17 na 18.

Tatizo unafikiri hiyo katiba na hizo sheria ziliandikwa na malaika wa Mungu na sio binadamu.

Sheria lazima ziifuate nature na sio nature iifuate sheria.
 
Ungeweza kuweka maudhui kwamba umri wa kuhukumiwa adhabu mbalimbali ubadilishwe, bila kuhusianisha na umri wa kuanza shule, pengine ungeitendea haki hoja hii. Lakini kitendo cha kuhusianisha na umri wa masomo kimeipunguzia credit hoja
 
Ungeweza kuweka maudhui kwamba umri wa kuhukumiwa adhabu mbalimbali ubadilishwe, bila kuhusianisha na umri wa kuanza shule, pengine ungeitendea haki hoja hii. Lakini kitendo cha kuhusianisha na umri wa masomo kimeipunguzia credit hoja
Age of consent in Germany is 14 years.

UK is 16 yrs.

Angola is 12 yrs.

Us kwenye majimbo 34 ni 16 yrs na yanayo baki ni 17 n.a. 18 yrs
 

Kila nchi ina sheria zake ambazo zinaendana na mazingira yake.

Huwezi kwenda na sheria za Ujerumani huku Tanzania.

Endelea kusubiri meli jangwani boss
 
Mkuu una hoja nzuri kuhusu umri,lakini vipi unaamini kabisa miaka18 vijana wamekomaa kiakili kuweza kusimamia vizuri majukumu ya ndoa au kusimama kama wazazi?
 
umenena kweli kabisa,na hili ndo kosa wanafanya wazazi wengi kutaka hata mtoto wa miaka 4 aanze la kwanza.
 
Acha ubishi mkuu, suala la umri na ukomavu wa ubongo jamaa kakueleza kisayansi kabisa. Miaka 4 unalazimisha mtoto aanze la kwanza ni kumuumiza tu, mitaala yenyewe vitu kibao.
 
Unachokiongea watu wengi hawatokuelewa maana bado bongo zetu zimekaa kiprimitive, kuna mtu kacomment kwamba “tuwalinde mabinti zetu”, ninacho fahamu mtoto akishabarehe tuu, hata baba hue jasusi huwezi kufanya ashindwe kufanya mabaya hata kama unakesha nae kanisani na ukamkaririsha vifungu vyote vya bible. Mfano yule Kajala baba yake alikua askari pamoja na mama yake lakini waliamsha mikono, na uyo ni mtoto wa kike.

Nature ni kitu cha kuogopa sana, ni kanuni ambayo haikwepeki, so [mention]LIKUD [/mention] anahoja, ila kwenye elimu ndo kuna shida, iko alichosema ni mfumo mzuri sana kama utawekwa basi litasaidia kuongeza taifa lenye wasomi pure, maana ubongo wa mtoto unakua bado haujanza kuwaza zaidi ngono, sisi wengine tulipata shida sana, tunafundishwa class mtu akili inawaza niko maliamu chumbani.

Katika elimu nilikua naongezea kua, elimu inayotolewa ilengwe zaidi kwenye mazingira halisi ya sasa, mfano mi sioni maana ya mtoto kumaliza la7 eti ndo akasome computer kuzima na kuwasha, ilitakiwa awe anajua yani amalize vitu kama microsft zote keshamaster walau vile vitu basic, swala la mtoto kufwata syllabus nayenyewe ni hovyo, ilitakiwa syllabus ifate akili ya mtoto, yani mtoto akionekana yuko smart ndo azidi kupandishwa madaraja na kupelekwa sehemu nzito nzito kulingana na uwezo wa ubongo wake na vile anavyoweza na kupenda ndo hapo tutakuja kuunusa uchumi wa china

Yani mtoto kama yupo vizuri kwenye language basi syllabus imvute huko huko ikibidi uyo mtoto agraduate la6 akiwa anajua lugha zote kuu za dunia kuzungumza na kuandika vizuri. Kama mtoto anaonekana yupo vizuri kwenye masomo ya hesabu basi aongezewe speed kupewa vitu vinavyohusiana na hesabu,

Unakuta kichwa cha mtoto ni chepesi kwenye language au arts mtu wanamlazimisha akomae na numbers, au unakuta mtoto yupo vizuri kwenye hesabu anaweza kucover syllabus ndani ya miezi minne (4) wanamkalisha mwaka mzima et asubili mpaka na wenzake wacover syllabus kwa miezi (12) ndo wahamie wote darasa lingine.

Elimu inatakiwa iwe kama jeshi hapa tanzania, yani kuwe na pure cream za wasomi hodari kwenye vitengo husika, sio kama sasa yani mtu anamaliza six hata hajielewi, anachagua course kwa kusikia kua iyo inalipa sana, anaenda kusoma na anagraduate kwa kudanga na malecture wengine kwa kuangalizia yani vituko tuu, yote sababu ya kua nchi ya deal deal tuu, mtu hana uwezo wa kitu husika ila sababu ndo deal kwa mda huo wote wanajitupa huko huko.

Kwaiyo vyote hivyo vikirekebishwa swala la ndoa kwa vijana katika umri mdogo nadhani litakua limekatwa automatic maaana ilo ndo linasabasha na mtu kuona elimu ni ngumu sababu haitoi fulsa kwa wote kupata mwanga, kijana akisomea kitu anachokipenda na akaiona yupo sehemu sahihi ya kucompete na wenzake hawezi kuwaza ndoa hata siku moja, aya mambo yanasabashwa na mitaala ya hovyo tulonayo.
 
Na
Hicho kipengengele kinaenda kubadilishwa. Mtaala mpya angalau watamaliza wakiwa na.miaka 16 mpaka 18
 
Acha ubishi mkuu, suala la umri na ukomavu wa ubongo jamaa kakueleza kisayansi kabisa. Miaka 4 unalazimisha mtoto aanze la kwanza ni kumuumiza tu, mitaala yenyewe vitu kibao.
Huyu mtoa mada ana matatizo. Kwa karne hii uoe kitoto cha miaka 14 au 15 unakipeleka wapi? Wanafanya mchezo na ndoa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…