Wanafunzi wa kike shule za sekondari nyingi Mtwara wanadanga na wazazi ni kama wamebariki kabisa

Kwahiyo zile Physics za Chandi zipigwe na watoto wa miaka 12/13 Mkuu utatuulia watoto kama sio kuvuna zero zote kwa miaka 10 ya mwanzo mfulukizo.
 
Yaani tuwakimbize watoto mputamputa ili tu wawahi kuolewa na kuzagamuana??
Akilini mwako umejaza ngono kama hao wazazi na watoto wa mtwara.

Wakuu tujaribu kua serious kidogo, hebu mwangalie mwanao wa miaka 14 anaweza kweli kubeba majukumu ya ndoa?? Achilia mbali kutunza mimba mpaka kujifungua!!?

Wengi wao wana maumbo makubwa lakini ni minyama tu, akili za kitoto, yaani ni utoto pro max halafu eti aje aolewe kwelii??.

Huduma zetu za afya zilivyo duni namna hii, watu wazima tu uzazi unawasumbua mpaka leo vifo vya mama na mtoto haviishi kwa uzembe wa wauguzi, umbali vilipo vituo vya afya, huduma mbovu anazopata mjamzito akiwa nyumbani na mambo chungu nzima, je mtoto wa miaka 14 atahimili??

Mkuu hivi unajua kua kuna athari za mtoto kama huyo kuanza kupelekewa moto?? 14 yrs anapelekewa moto wa kibabe na mumewe kama ako na 30 yrs??

Jaribu kutafakari tena mkuu, na ukiwa unatafakari, weka akilini kua sisi ni watanzania.
 
Yaan sheria ibadilishwe ili kurahisisha zinaa. Hao watu watengenezewe mazingira ya kufanya kaz wawe bize wachoke bana waache zinaa. Hii nchi msipostuka mkabaki kufikiria huko chini wagen watakuja kuchukua kila kitu. Kama wazaramo hapa Dar.
Yaani watu wanawaza ngono tu. Nadhani kwa Africa vijana wa Tanzania wanaongoza kwa kuwaza ngono tu. Shida sana. Mitaani huko kuleharibika, si vijana, si watoto wa kike na kiume wanadanga. Sijui jamii yetu inaelekea wapi.
Kuna wazazi waliwaozesha binti z1o kama wa 4 tulipomaliza shule ya msingi, kipindi hicho nilikuwa hata sijavunja ungo. Yaani wale wazazi mpaka leo wanajuta kuwaharibia watoto wao future. Ukiwaona wanatia huruma na ndoa ziliwashinda siku nyingi, wamerudi upareni na wamezeeeka.
 
Mwambie huyo.
 
Huyu mtoa mada ana matatizo. Kwa karne hii uoe kitoto cha miaka 14 au 15 unakipeleka wapi? Wanafanya mchezo na ndoa hawa
🤣🤣🤣🤣 acha ku complicate mkuu ndoa sio nguvu kihivyo unavyo taka kuiweka
 
Mdada wa miaka 14 una muita mtoto ? Hebu watake radhi wanawake wote mkuu.
Binti wa miaka kumi na nne ukipanda nae ulingoni anakupeleka mchakamchaka vizuri sana na miaka yako 30.
 

Kwahiyo Nature ndio inasema wanaume watu wazima mshiriki ngono na watoto wa miaka 14?

Pedophilia ni ugonjwa wa hovyo ambao mgonjwa yapaswa atengwe na jamii nzima. Maajabu uko hapa kupambania nanyi mtambulike Kama wale wenzenu lgbtq.

Binaadam hofu ya Mungu inazidi kuwatoka!


Ila mnachokitafuta ni guarantee mtakipata, keep it “Up.
 
Hizi mambo za ku giveup hizi mtakuja mseme, ndoa au mahusiano ya jinsia moja viruhusiwe tu sababu watu wengi tayari wanafanya kwa siri.

Kama jamii tunapaswa kusimama imara, bint anaweza akawa amevunja ungo, je, bint huyo ni chombo cha starehe? Kwamba hahitaji ukomavu wake wa kiakili ili kuruhusiwa kuingia katika level nyingine ya maisha?

Je, wewe unaweza ukaoa na kuishi na bint wa miaka 14 na mkaendesha maisha yenu vizuri ukiwa proud? Je utakuwa proud kuozesha bint yako au kijana wako wa miaka 14 hata kwa age.mate wake? Au unawetengenezea shavu pyschopath ili na wao wale kwa uhuru matamu ya ulimwengu?
sounds like bimaadam sasa tunatamani kurudi stone age and yunaona ni poa tu turudi kule tukapekeche vijiti na kugonganisha mawe ili tupate moto.
 


Nimekuelewa sana kwenye suala la Mfumo wa elimu. Sana.
 
Mdada wa miaka 14 una muita mtoto ? Hebu watake radhi wanawake wote mkuu.
Binti wa miaka kumi na nne ukipanda nae ulingoni anakupeleka mchakamchaka vizuri sana na miaka yako 30.


Nafsi yako ni mfu.


A female human being of 14 years of earth age unamuita “mdada.


Si ajabu kwa wewe kumlala binti yako wa kumzaa ukimuona ameanza kuwa “mdada.

Unatia kinyaa sana.
 
da!! ngoja nihamie NTWARA!!!
 
Bila wasiwasi wowote
Kwamba unaweza kushauriana na binti wa miaka14 maisha? Yan itokee unaumwa huyo binti anaweza kuhudumia na kusimamia mtoto? Kuvunja ungo haimaanishi mtu amekomaa kiakili kwa majukumu ya ndoa,mtoa mada hivi unafahamu nn kuhusu upeo wa ujana?
 
Brother hivi una elimu gani? Unafaham tofauti ya kuvunja ungo na kukomaa via vya uzazi? Umewai shuhudia birth complications za hao mabinti wa under18 wakiwa wanajifungua?
Unajua mama Maria mama wa Yesu alipata ujauzito wa Yesu akiwa na umri gani?
 
Kwamba unaweza kushauriana na binti wa miaka14 maisha? Yan itokee unaumwa huyo binti anaweza kuhudumia na kusimamia mtoto? Kuvunja ungo haimaanishi mtu amekomaa kiakili kwa majukumu ya ndoa,mtoa mada hivi unafahamu nn kuhusu upeo wa ujana?

Akili zangu zinatosha mkuu.As a matter if fact unaelewa nini kuhusu msemo wanawake wote ni kama watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…