Ni watu wazima hao ,wana haki ya kuamua kuhusu maisha yao, ndio maana hata wakipewa mimba sio kesi.Wanafunzi hasa wa kike wana ndoa zao vyuoni
- wapo wanaoishi kwenye vyumba vya kupanga na wanafunzi wenzao, (hapa kwa kiasi kikubwa huwa ni penzi la kweli)
- wapo wanaokwenda kwa walimu wao (lecturers), - Hawa lecturers wana nguvu sana, Ukikorofishana nao unaweza rudia somo lao miaka, Lecturer akiomba penzi ni ngumu mwanafunzi kukataa.
- wapo wanaoishi na waajiriwa na wafanyabiashara - Hawa ni kwajili ya Pesa, ni wahongaji wakubwa sana kwa wanafunzi vyuoni.
Ndoa zinawasubiri .
Ila kwa lecturers huwa ni black mail.Ni watu wazima hao ,wana haki ya kuamua kuhusu maisha yao, ndio maana hata wakipewa mimba sio kesi.
ChaiNi watu wazima hao ,wana haki ya kuamua kuhusu maisha yao, ndio maana hata wakipewa mimba sio kesi.
Sijui nini kifanyike ili ma lecture waache kufelisha mabinti zetu makusudi ili wawatombeInasikitisha sana
chuoni ni full kuoana temporary or permanent marriage, hakuna anayefuatilia mahusiano ya kimapenzi ya wanachuo ila vyuo vya kati ndio kuna mikwara mkigundulika na mimba haziruhusiwiNi watu wazima hao ,wana haki ya kuamua kuhusu maisha yao, ndio maana hata wakipewa mimba sio kesi.
Sema neno😄😃😅😀
Kuna ukweli ndani yakeSema neno
Kumbe wasomi mlikuwa na ndoa za mikataba.Kuna ukweli ndani yake
Ni asilimia ndogo sana ya mabinti wa chuo wanaotembea na lecturers. Mabinti wengi huliwa mitaani huko tena kwa bei rahisi tu.Sijui nini kifanyike ili ma lecture waache kufelisha mabinti zetu makusudi ili wawatombe
Hii ni kweli sipingi mkuuMsione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni