Wana JF, tazameni hiyo video muone jinsi wanafunzi wa Kimarekani wanaosomea lugha ya kiswahili huko Chuo Kikuu Cha Indiana (Bloomington Campus) wakiendesha mdahalo wa Wagombea Urais wa Tanzania kwa kuchambua hoja mbalimbali ambazo ni kipaumbele na changamoto zinazozikabili taifa. Wako mstari wa mbele katika kukuza na kuenzi lugha ya Kiswahili.
Published on Jun 30, 2013
Published on Jun 30, 2013
Last edited by a moderator: