Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Nini?
Hujaelewa nini hapo??
Dola ya kilwa iliyodondoka karne ya 12 walikuwa wakiongea kiswahili, sasa hiyo Kenya imetoka wapi?Chimbuko la Kiswahili ni kabila la Wangozi kutokea Pwani ya Kenya, someni historia muache kulia lia. Muarabu alikuja akakiboresha kwa kuchomekea maneno yake mengi na pia akaongeza na maneno ya wabantu wengine hadi kikawa lugha ya Wapwani, yaani ukanda wote wa Pwani, kipindi hicho hakukua na Kenya wala Tanzania.
Dola ya kilwa iliyodondoka karne ya 12 walikuwa wakiongea kiswahili, sasa hiyo Kenya imetoka wapi?
Kweli kiongozi....... Ndo inavyojulikana hivyoRoberto 20 pia siku nane zilizopita nilikuwa nikiongea na wadada kutoka UK, mmoja London na mwingine Manchester. Katika maongezi huyu wa London alidai alikuwa Kenya kabla na kukiri wazi yeye kwa mtazamo wake anaona Kiswahili fasaha ni kutoka Tanzania.