Wanafunzi wa Kimarekani Wakiendesha Mdahalo wa Urais wa Tanzania kwa Kiswahili

Wanafunzi wa Kimarekani Wakiendesha Mdahalo wa Urais wa Tanzania kwa Kiswahili

Soma historia wacha uzembe bro, vitabu vipo.
Mimi nazungumza kuhusu kabila la Wangozi lililokuwepo tangu, hata kabla mwarabu hajaja kubuni hiyo dola.
Nimesoma historia ya kiswahili form 3&4 kiongozi...... Lakini sidhani kama nilishakutana na jina la kabila unalosemea....
 
Mi navyojua kiswahili kimeanzia pwani ya Mombasa na ni cha ufasaha
Hehehe!! Yaani nguvu mnazotumia kwenye kulia lia kuhusu Kiswahili kuwa cha Tanzania.

Chimbuko la Kiswahili ni kabila la Wangozi kutokea Pwani ya Kenya, someni historia muache kulia lia. Muarabu alikuja akakiboresha kwa kuchomekea maneno yake mengi na pia akaongeza na maneno ya wabantu wengine hadi kikawa lugha ya Wapwani, yaani ukanda wote wa Pwani, kipindi hicho hakukua na Kenya wala Tanzania.

Watu wa mikoani kama Wasukuma, Wanyakyusa na sisi Wakikuyu tukadandia humo humo na kuendelea kukitumia na kujitambulisha nacho kama lugha rasmi, na tumeendelea kukikuza hadi kimepokewa Afrika.

Sasa badala ya kulia lia kila siku, kile mngefanya Watanzania ni kushirikiana sote tukikuze kiendelee kupokewa duniani. Sema ni vigumu kukipigia debe kama mumeganda kwenye lugha moja kwa mlivyo wazembe mumeshindwa kujifunza Kingereza, hapo inakua vigumu hata kwa walimu wenu kupata soko huko nje, hadi wamefunikwa na Wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma historia ya kiswahili form 3&4 kiongozi...... Lakini sidhani kama nilishakutana na jina la kabila unalosemea....

Kwa utandawazi uliopo kwenye karne ya leo inashangaza kwa wewe kushikilia bango la elimu ya sekondari.
Jiongeze kaka, tafiti kote kote, nimesema vitabu vipo, taarifa zipo, wazee wapo yaani sijui unakwama wapi.
 
Basi sawa.... Ila unapoanza kujifunza kitu utaanza kwanza kujifunza chimbuko lake..... Ndo maana cha kwanza kujifunza kwenye historia ya kiswahili ni chimbuko tena mapema sana sekondari...... Ukiletewa swali la origin ya kiswahili kwenye mtihani huku bongo (tuseme CSEE) halafu useme chimbuko ni hilo kabila ulilotaja,aisee utalia na mtihani matokeo yakija...
 
Basi sawa.... Ila unapoanza kujifunza kitu utaanza kwanza kujifunza chimbuko lake..... Ndo maana cha kwanza kujifunza kwenye historia ya kiswahili ni chimbuko tena mapema sana sekondari...... Ukiletewa swali la origin ya kiswahili kwenye mtihani huku bongo (tuseme CSEE) halafu useme chimbuko ni hilo kabila ulilotaja,aisee utalia na mtihani matokeo yakijaa...
Historia ya shule huwa imepindishwa pindishwa kiaina, haijakamilika, ila yote tisa, kila lugha dunia hii ina kabila ilikochimbukia, hata Kingereza ukifuata chimbuko chake utashangaa sana.
 
Historia ya shule huwa imepindishwa pindishwa kiaina, haijakamilika, ila yote tisa, kila lugha dunia hii ina kabila ilikochimbukia, hata Kingereza ukifuata chimbuko chake utashangaa sana.
Hilo kabila ndo lile lililopo maeneo ya Turkana
 
Hilo kabila ndo lile lililopo maeneo ya Turkana

Nahisi kuna sababu kwanini historia ilikupiga chenga shuleni, haupo makini kwenye kufuata taarifa.
Kabila la Pwani litapatikanaje mikoani, ni kama kwenda Njombe ukatafute kabila la Wazaramo.
 
Nahisi kuna sababu kwanini historia ilikupiga chenga shuleni, haupo makini kwenye kufuata taarifa.
Kabila la Pwani litapatikanaje mikoani, ni kama kwenda Njombe ukatafute kabila la Wazaramo.
Duh! Kumbe ni la pwani samahani mkuu.... Mm nakumbuka nimesoma kuhusu kikundi fulani cha wabantu huko maeneo ya turkana kinachosadikika ndo chimbuko la kiswahili...... Nakumbuka nilisoma kikundi hicho kilivamiwa na kabila fulani linaloitwa wazimba(siko sure na hilo jina ndo ikawafanya wenyeji kukimbilia maeneo ya pwani...
Ndo maana nilikuwa nafikir hilo kabila ndo hicho kikundi unachokisemea.... Lakini kama ni kabila la pwani haina shaka itakuwa ni theory nyingine tu hiyo....
 
Q

Poa ila pia Turkana sio Bantu, wapo kwenye kundi la Nilotes ambalo limesheheni Wamaasai pia.
 
Ni kweli kabisa. Hao wakisha hitimu Chuo tu wanakuwa recruited na CIA pamoja na vyombo vingine vya usalama wa nchi yao kama Majasusi. Halafu baadae wanaletwa Bongo au Kenya au DRC Mashariki huko ku volunteer mwaka mmoja chini ya mwamvuli wa ile programu yao inayojulikana kama 'Peace Corp". Unakuta mtu ametupwa Kigoma huko ati Bwana Shamba au Muheza huko eti Mwalimu.

Na wawapo Bongo kwenye hizo mishineni zao ndio wanapata fursa ya kunoa vema (polish) 'Kiswahili' chao kuwa barabara. Baadae kulitumikia taifa lao kwa muda wanakuja kuzuka kivingine (Staili ya kutengeneza kampuni hivi yenye mkono wa serikali yao) kama akina Symbion au Winds Energy dezaini hivi. Na si kiswahili peke yake bali ni lugha zote duniani.

Kabisaa !!!! Na baadhi ya watu wakiiona mgeni/mzungu anaongea kiswahili hujikuta wakifunguka balaa bila kujielewa.
 
Back
Top Bottom