Hawa ndio watakaokuja kuwa agents wa akina symbion power, wanazidi kuandlaiwa
Hawa ndio watakaokuja kuwa agents wa akina symbion power, wanazidi kuandlaiwa
I'm not sure if this is already here. check it out.Tanzania Presidential Debate (Swahili students in USA) - YouTube
Je, unajua wanafunzi hao wanafundishwa katika chuo au shule gani? Na wapi? Mimi ni mwanafunzi Mmarekani wa Kiswahili pia, na naweza kukuambia ndiyo ngumu sana kuona mwalimu wa Kiswahili hapa. Ningependa kujua zaidi kuhusu hilo darasa la Kiswahili.
Hapana sifahamu chuo/shule wanaposomea. Hii video nimekutana nayo tu kwenye youtube nikasema nilete jamvini wanajamvi waone lugha yetu inavyokua.