Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria


Ninavyojua...kama dini haioni umuhimu wa elimu..eti kwa kigezo cha siku..huu ni utaahira...opeum..ile ya marx...ntarudia tena opium..enhe..then ...wasifanye pepa jumamosi...wafanye lini...hawajui kuwa hapa dunia tunaspecific limit of time to stay here on the world ..we need to usr this time we get intensively..ndo maana kwa wao no sleep every time time kwao nii bada..from alfajir mpaka...alfajr seven day..mwaka mzima...huku elimu ikiwa pembeni..reading..na kutafuta rizq till we die...mh...mh..
 
umemailizia tu vibaya lakn ulishuka vizuri
 
binafsi but public kumbuka
 
Suala la imani hutatuliwa kwa busara tu ,kuna vyuo vingi ambavyo vinawanafunzi wa kisabato lakini matatizo hayajitokezi mi ningeshauri chuo kiongozwe la roho wa Mungu na busara itumike kama baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa hata room /vyumba kwa wanafunzi wa madhehebu mbali mbali kuabudu.ASANTENI
 
Aina hii ya watu ndo waliokwenda airport kusubiri ndege ya kwenda mbinguni.
 
Catholic Church imejifanya mungu mtu duniani kujiona bora kuliko wengine, kama ilivyo Ijumaa kuifanya siku ya kazi ipo siku haki itatendeka
 
Sisi bwenini ilikuwa ukila matango ya sister Huna shule
 
Hill ni kawaida tu Mbona hats pale chuo kikuu cha mwenge nipo moshi waliwa disco wasabato kadhaa pale kwa kukacha kufanya D's test
 


Hao katika msururu wa Amri za Mungu iliyo kuu, kwao ni "kuitunza sabato"! Wamefundishwa na kusisitizwa kuwa "ukiishika" sabato hata kama uko mwizi, mseng'enyi na mzinzi basi Mbinguni badoi halali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…