itara
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 2,240
- 1,570
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?
Ninavyojua...kama dini haioni umuhimu wa elimu..eti kwa kigezo cha siku..huu ni utaahira...opeum..ile ya marx...ntarudia tena opium..enhe..then ...wasifanye pepa jumamosi...wafanye lini...hawajui kuwa hapa dunia tunaspecific limit of time to stay here on the world ..we need to usr this time we get intensively..ndo maana kwa wao no sleep every time time kwao nii bada..from alfajir mpaka...alfajr seven day..mwaka mzima...huku elimu ikiwa pembeni..reading..na kutafuta rizq till we die...mh...mh..