Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Haki yako kwa Mungu inatambulika na atawalipia...
Tatizo ni kwa wale wanadai kuitunza sabato huku wamekumbatia dhambi nyingine, mtu kama huyo hatabaki salama wala Mungu hashughuliki naye.
Kufukuzwa chuo si mwisho wa maisha, wapo waliouawa kabisa kwa sababu za kiimani sembuse kufukuzwa chuo?!!!
Wapambane na hali zao katika kuomba, Mungu atafungua njia nyingine kwa ajili yao
 


Mungu yupi? Mungu hakai hewani.Mungu yuko katikati ya watu.Mungu anaridhia taratibu na mipango yetu mizuri inayolenga kustawisha uhai wetu."...lolote mutakalolifunga duniani na Mbinguni limefungwa; na lolote mutakalolifungua duniani na Mbinguni limefunguliwa..."
 


Mungu yupi? Mungu hakai hewani.Mungu yuko katikati ya watu.Mungu anaridhia taratibu na mipango yetu mizuri inayolenga kustawisha uhai wetu."...lolote mutakalolifunga duniani na Mbinguni limefungwa; na lolote mutakalolifungua duniani na Mbinguni limefunguliwa..."
 
Enendeni kwa roho na kwa akili pia ^Mtume Paulo^
 
UJINGA MTUPU.

MITIHANI INAFANYIKA IJUMAA NA JUMAPILI NA MAISHA YANAENDELEA.

UNAKATAA KUFANYA PAPER ILA UNAZINI, C UPUMBAVU.
 
Nakumbuka joining instruction ya SAUT ilikua imeandikwa masomo yatakua 1:45 Asubuhi mpaka saa 1:45 usiku, Jumatatu mpaka Ijumaa.
Ukishasaini pale hawa shida uwe msabato au la utaingia clas coz Jumamosi ni siku ya masomo kama kawaida.
 
Mapadre huwa wanatoka kuendesha misa jpili na waanenda kufundisha darasani kwenye vyuo/shule zao na maisha yanaenda.
Kuna waislamu na madhehebu mengine wanasoma seminaries/shule za Catholics zenye utaratibu wa dini kama vile kusali asubuhi nk na wanafuata taratibu wanasoma vzuri.
Kama mtu huwezi kufuata taratibu za sehemu ni bora usiende kabisa.
 
Hivi ni nani alimfunulia paulo mtume asiyefanya kazi na asile?
Wasabato wako tayari kuzini siku ya sabato lakini sio kufanya kazi siku ya sabato
 
Nakumbuka joining instruction ya SAUT ilikua imeandikwa masomo yatakua 1:45 Asubuhi mpaka saa 1:45 usiku, Jumatatu mpaka Ijumaa.
Ukishasaini pale hawa shida uwe msabato au la utaingia clas coz Jumamosi ni siku ya masomo kama kawaida.

Nadhani umechanganya folders kama ni Jumatatu hadi Ijumaa TATIZO LIKO WAPI KWA WASABATO?
 
kwa sababu unashambulia wasabato as if wamekuulia mwanao kila siku na kila mada ya wasabato inapoanzishwa
Unajua wasabato wanaonekana kama freeky creature hapa duniani.....Na hii yote imesababishwa na muanzilishi wao Nabii Mke Ellen G White
 
Kaka kuwa na akiba na maneno,kuabudu sio dhambi na kuheshimu imani ya watu wengine ni jambo jema
Hapana....Wasabato wasipobadilisha fikra na mitazamo ya yule Mama White wataendelea kuwa viumbe wa ajabu sana hapa duniani

We umeona wapi kanisa linaanzishwa na mwanamke tena anajipachika unabii na vidume vipo vinashangilia..

Matokeo yake ndio haya wanagomea mitihani
 
Mweleze jamaa yangu unajua Otorong'ong'o anaona kama imani za watu wengine ni upuuzi, asicheze na imani za watu
Usabato siyo imani...ni genge la wanaharakati lilionzia huko Marekani..
Genge la William Miller
Genge la Joseph Bates, hiram Edson, John Snow
Kisha Genge la Ellen Gould White na mumewe James White
 
Catholic Church imejifanya mungu mtu duniani kujiona bora kuliko wengine, kama ilivyo Ijumaa kuifanya siku ya kazi ipo siku haki itatendeka
Acha ubashite wewe, hapo RC inahusika nini sasa katika hili?
 
Hivi wakienda jeshini kwa mujibu wanafanyaje
Kuna Wasabato kibao Jeshini...Ila wanakwambia ni bahati mbaya sana dini yao ilianzishwa na mwanamke..wanajuta....

Wanasema hawapo tayari kuendeshwa na mihemko ya mwanamke(EGW)..wanapiga kazi kama kawaida siku zote na kiti moto wanakula vizuri tuu
 
Mungu akusamehe bure maana hujui usemalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…