Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Mkuu Amavubi,

Nadhani moja ni kujua mfumo wa Chuo, je chuo kinaongozwa kikanisa/kufuata taratibu za kikanisa (hapa namaanisha 'Mission'...iwapo ndivyo, basi kufuatana na maagizo ya kitaaluma wanapaswa kufuata hivyo!

Lakini iwapo chuo hakiendeshi kwa maana hiyo maana yake kinafuata taratibu za kawaida kuwa na siku tano za masomo, basi sidhani kama ni sahihi wao kulazimishwa kufanya mtihani siju hiyo ;
Kulingana na Katiba ya JMT (kuheshimu siku za dini za wananchi wake)
-Kwa kuwa si siku ya kazi/masomo ("weekend")
- And above all wapaswa kumtii MUNGU kuliko wanadamu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, nadhani utakywa unachanganya Imani ya Kisabato na Mapokeo ya Kiyahudi.
 
Naomba msaada kwa hili, hivi wasabato hata mfumo wa ajira unawaruhusu J1 wasifanye kazi, and if thats the case basi najua watkuwa wanapumzika siku 2 badala ya 1, kwa nini isiwe kama waislam waende kusali na kisha waendelee na kazi?
 
sabato ni siku ya kwanza ya juma, na wala sio jumamosi, someni maandiko
Waziri Pinda hamna tofauti... Wapumba VVVVVVV.

Jumamosi ni kiswahili tu ila hiyo siku huitwa Sabath tokea dunia iumbwe siku ya saba ya juma hata Mungu hupumzika ila Shetani ndio kazi yake kupotosha na kugeuza vibao elekezi. Hayo maandiko unayoyazungumza utakuwa umepewa na Shetani
 
Wajinga ndo waliwao....hao wanafunzi ni watumwa wa dini.

Ndo maana sehemu za ibada hapa Tanzania zinazidi kuwa nyingi kuliko hata shule na vyuo kwa sababu wajanja wamegundua uzezeta uko juu kwa watanzania walio wengi.

Mkija kushtuka kuwa mlikuwa mnaibiwa na viongozi wenu wa dini itakuwa too late.
 
Kijana hapo hujaelewa siku ya sabato tunaruhusiwa kutenda yaliyo mema tu na Si mabaya na kuponya roho si kuangamiza so ikitokea vita kw msabato mwanajeshi atakuwa anaponya na kwenda kuokoa roho za watu so haitakuwa dhambi soma luka 6:9
 

This is satanic cleverly fraud about the bible
 

suala ni kwamba kama ni test zifanyike siku za masomo tu otherwise mipango ya shetani kuashindana na nuru
 
Mpumbavu hata umpwange pamoja na ngano kinuni upumbavuwake hauta mtoka, sijasemamimi imesema Biblia, SABATO ni kwaajiri ya mwanadamu si mwanadamu kwaajiri ya SABATO, je, mna muona Mungu ni mjingasana kwa kusema ikumbuke SABATO?, Kutoka 20:8---
 
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa (HOSEA 2: 28 )...Yesu alisema Iweni wapole kama huwa na werevu kama nyoka na Ya Mungu mpeni Mungu na ya kaisari mpeni kaisari.

Polesana mupendwa
 
ni siku gani ya kwanza ya juma? tumia maandiko

Wataijuria wapi hawa. wepesi kusikia wagumu kuamini. hakuna neno jumamosi ktk kiarabu inaitwa (al sabut)= sabato kiswahili na ijumaa inaitwa (juma au al juma)= kukutanika
 
Ewe Mfarisayo lini utabadilika...? Ninyi Wasabato(mafarisayo) Yesu alipata tabu sana na nyinyi....Ila hakuna shida maaana hao mafarisayo wenzako wako mtaani wana kula jeuri yao..

Nakwataalifayako watafanya mtihani
 
SDA=Mormon=Jehova Witness=Mafarisayo

Uko mbali na wakati, watabadili majira na nyakati. kwisha kwa siku kutoka jioni hadi saa "6" usiku, kuabudu kutoka j.mos sabato hadi j.pili siku ya kwanza ya juma
 
Dini inapokuwa mzigo na upofu wa kiimani ni janga! Unakataa kufanya mitihani ili kuilinda sabato wakati una dhambi nyingine kibao unazifanya ni upumbavu

Upumbavu ni kuendelea kufanya zambi, kuvunja amli ya SABATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…