Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Jaribu kuwa na ustahamilivu na watu wa imani tofauti tofauti.They deserve it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kuwa na ustahamilivu na watu wa imani tofauti tofauti.They deserve it
vyuo vipo kibao, kama wanaleta za kuleta tunawaachia waendelee kuchukua wa imani yao.
Msabato haruhusiwi kutoka jasho na asitembee umbali zaidi ya jiwe litakapododoka baada ya kulitupa toka mlangoni kwake. Ukiwa Dar kuna joto na mtu anatokwa na jasho bila hata ya kutoka nje, hivyo ni dhambi. Kama mtu anatoka nyumbani kwake hadi kanisani ambapo ni mbali na kwake, anatenda zambi. Hivyo kama kuna mazambi hayo mengi itakuwa ni upuuzi kutofanya mtihani ati utatenda dhambi
Waziri Pinda hamna tofauti... Wapumba VVVVVVV.sabato ni siku ya kwanza ya juma, na wala sio jumamosi, someni maandiko
Nadhani wanafunzi waache ujinga, mtihani siku ya J1 wala J2 au siku zingine haina shida. Mbona waislam wanafanya kazi Ijumaa? Mbona shuguli za chaguzi hufanyika J2?
Sabato ya kweli ni pumziko moyoni, lipatikanalo ndani ya Yesu pekee ambaye ni Bwana wa sabato. Siku zote ni za Mungu, hakuna hata moja ambayo ni ya shetani, na siku zote inabidi tumwabudu Muumba.
Kakika nchi za kiarabu, wakristo hukusanyika siku ya Ijumaa (J1 na J2) ni siku za kazi.
Alafu wakati leo hapa ni J1 kwingine ni Ijuma au J2. So kasome maandiko vizuri, wahsauri wanafunzi wenu wakafanye mitihani siku yoyote itakapotolewa.
Pia Yesu alisema msingi wa sabato ni kufanya mema, kama vile "kumokoa punda shimoni", mtijani wako na wa thamani sana kuliko thamani ya Punda!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa (HOSEA 2: 28 )...Yesu alisema Iweni wapole kama huwa na werevu kama nyoka na Ya Mungu mpeni Mungu na ya kaisari mpeni kaisari.
Wasabato ni Mafarisayo sijui kama watakulewa..
ni siku gani ya kwanza ya juma? tumia maandiko
Ewe Mfarisayo lini utabadilika...? Ninyi Wasabato(mafarisayo) Yesu alipata tabu sana na nyinyi....Ila hakuna shida maaana hao mafarisayo wenzako wako mtaani wana kula jeuri yao..
SDA=Mormon=Jehova Witness=Mafarisayo
Hakuna kitu kama hicho wewe, UDSM test zinafanyika hadi X-Mass.
Dini inapokuwa mzigo na upofu wa kiimani ni janga! Unakataa kufanya mitihani ili kuilinda sabato wakati una dhambi nyingine kibao unazifanya ni upumbavu
mhhhhh hawajui wanatka nini duniani hao mavi