Ya kaisari mpe kaisari ya mungu mpe mungu
Hahahaaa...ulisoma kitalu gani ndugu ?Maua? au Uru?hapo kwenye Blue umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nikiwa O'level nilipangwa kwenye kitengo cha Orchard(Fruits) nilikoswa2 na Disco hivi2 kisa Avocardo!! Lazima ufuate taratibu nyumbani kwa watu.Lakini ktk hicho chuo its too much coz hata malecturer wao walikuwa wanalazimishwa kuhudhuria ibada hata kama si wa dhehebu husika
Nakwataalifayako watafanya mtihani
na hii ni Public Institution wanatakiwa wafuate sherai na katiba ya nchi pia si kanuni za kimoravianTEKU waliamua kufuata mkondo wa chuo cha kitaifa hivyo inabidi wawavumilie wenye imani tofauti. La sivyo watamke wao ni chuo kikuu cha wamoravian nasi hatutakiuwa na lingine bali kuwaachia chuo.
nadhani unadhauri vizuri, wachukue mkondo upi sasa kisheria/taratibu?mbn udsm wasabato wanafanya mitihan jpili (special) ikiwa wenzao wamefanya jmos?
mi naona iman ya mtu iheshimiwe as long as ndivyo impasavyo kutenda na sio habar za kukomoana na kuleta sababu nyiiing
Mkuu kwenye vyuo vikuu vyote vya Umma hakuna kitu kinachoitwa Public Holliday kwa wanachuo, Vipindi vya masomo na mitihani inafanyika siku yoyote iwe week end ama sikukuu, usiku ama mchana.na hii ni Public Institution wanatakiwa wafuate sherai na katiba ya nchi pia si kanuni za kimoravian
Mpumbavu hata umpwange pamoja na ngano kinuni upumbavuwake hauta mtoka, sijasemamimi imesema Biblia, SABATO ni kwaajiri ya mwanadamu si mwanadamu kwaajiri ya SABATO, je, mna muona Mungu ni mjingasana kwa kusema ikumbuke SABATO?, Kutoka 20:8---
Wakajiunge na vyuo vyao kisabato, halafu wengi wao ni wanafiki wa kutupwa kimatendo..nimesoma kiduchu shule yao, kuhudhuria mikanisa yao kama magomeni, mwenge na pia kusoma nao chuo yaani mambo yanayotendwa na baadhi yao halafu sabato ni mazito sana halafu kujitia watakatifu..bullshit!! hamna mtu malaika ila hawa wengi wa sda ni big pretenders.
siku ya sabato biblia kubwa, happy sabbath za kumwaga kumbe matendo ya kiasherati imewatawala..eish!!

Kuna vitu 3 vitakatifu 1. Ndoa 2. Sabato na 3. Meza ya bwana. Ukicheza na hivi vitu unatafuta laana. Ukividhihaki hivi vitu unaitafuta adhabu ya Mungu. So wewe unayedhihaki jiangalie sana. Kama huamini basi ni vyema ukatumia hekima kupinga ila si kutumia lugha mbaya.
Ameen... Ubarikiwe na Bwana na Sabato njema!