Swiper
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 444
- 168
Ya kaisari mpe kaisari ya mungu mpe mungu
Mungu ndo kapewa saoto, kama alivyoagiza, mbona kaizari anaing'ang'ania?
by the way nchi yako (Kaisari) ametoa pumziko jumamosi (sabato) na j'pili, hawa walimu wanalipwa PT za nini on that day?
SP
SP