Umekuja kufanya nn huku wewe...Tambaa zako huku hakukuhusu...
Mbona kuna vyuo kama IFM na Mzumbe wanafanya mitihani siku za jumamosi na hatujasikia wasabato kufukuzwa? Au wa TEKU ni masalia?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Hosea4:16
Mimi kwa kweli sijui i wapi tofauti ya Wasabato na Wayahudi. Hawa watu wana misimamo ya ajabu sana kama Wafilisti tu, hakuna tofauti. Hivi ni yupi kati yao ambaye bweni likiungua hatotoa vitu vyake kwa kuwa ni jumamosi?
Watanzania tusiwe wajinga, huko ni kuabudu siku. Mimi naona unaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa chuo; kwa nini waliwafukuza bila kuwacharaza bakora za makalio pambaf hao?
Kimsingi wanayo basis kabisa ya kutofanya mitihani..mfano Udsm jamaa huwa hawapigi timed tests za DS kwa first years ambazo mara nyingi hufanywa siku za jumamosi..wengine sijui huwa wanakuja kupiga special sasa nashangaa chuo kisicho na ramani kinakua na basis..ya kutoamini hawa watu wanacho kitaka..sitetei wasabato point ya msingi walikua na haki kutokana na imani yao kutokupiga pepa..hiyo..over..!!!Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?
asante kwa rai yako natumaini wamekusikiaKimsingi wanayo basis kabisa ya kutofanya mitihani..mfano Udsm jamaa huwa hawapigi timed tests za DS kwa first years ambazo mara nyingi hufanywa siku za jumamosi..wengine sijui huwa wanakuja kupiga special sasa nashangaa chuo kisicho na ramani kinakua na basis..ya kutoamini hawa watu wanacho kitaka..sitetei wasabato point ya msingi walikua na haki kutokana na imani yao kutokupiga pepa..hiyo..over..!!!
Mimi kwa kweli sijui i wapi tofauti ya Wasabato na Wayahudi. Hawa watu wana misimamo ya ajabu sana kama Wafilisti tu, hakuna tofauti. Hivi ni yupi kati yao ambaye bweni likiungua hatotoa vitu vyake kwa kuwa ni jumamosi?
Watanzania tusiwe wajinga, huko ni kuabudu siku. Mimi naona unaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa chuo; kwa nini waliwafukuza bila kuwacharaza bakora za makalio pambaf hao?
Wakajiunge na vyuo vyao kisabato, halafu wengi wao ni wanafiki wa kutupwa kimatendo..nimesoma kiduchu shule yao, kuhudhuria mikanisa yao kama magomeni, mwenge na pia kusoma nao chuo yaani mambo yanayotendwa na baadhi yao halafu sabato ni mazito sana halafu kujitia watakatifu..bullshit!! hamna mtu malaika ila hawa wengi wa sda ni big pretenders.
siku ya sabato biblia kubwa, happy sabbath za kumwaga kumbe matendo ya kiasherati imewatawala..eish!!
kilichowapata hawa wanafunzi ni halali yao, chuo gani huwa kinafungwa kwa sababu za kuabudu? hata mlimani lecture anaweza kuja jumapili au akatoa assignement jumapili au akawatarifu kuwa jumapili kuna darasa,hawa lazima wajue kuwa sasa wako shule na kilichowapeleka hapo ni kusoka,wangeweza kufanya mtihani na baadaye wakenda kusali hata chumbani,Mungu hathaminiwi kwa kuheshimu siku bali ibada.
LIKUD acha propaganda wewe,mara nyingi x-mass na boxing day huwa siku za mapumziko na pengine mlikuwa na viongozi class rep bogus au lecturer mhuni.Na UE zilikuwa zinafanyika monday-friday tu.Timed test zilitegemea agreement ya wanafunzi na mhadhiri.Hapakuwa na kupelekana puta kama manamba.Nilimaliza 2005 udsm,Kuna mabadiliko na thinking capacity ya walimu na wanafunzi ni ndogo.Lakini pia kuna avenue nyingi za kufanya mitihani baadaya kushindwa attempt ya kwanza.Hakuna kitu kama hicho wewe, UDSM test zinafanyika hadi X-Mass.
kilichowapata hawa wanafunzi ni halali yao, chuo gani huwa kinafungwa kwa sababu za kuabudu? hata mlimani lecture anaweza kuja jumapili au akatoa assignement jumapili au akawatarifu kuwa jumapili kuna darasa,hawa lazima wajue kuwa sasa wako shule na kilichowapeleka hapo ni kusoka,wangeweza kufanya mtihani na baadaye wakenda kusali hata chumbani,Mungu hathaminiwi kwa kuheshimu siku bali ibada.
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu....... Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheriaJe mnawashauri nini wanajamvi?[/QUn ni kweli katiba ya JMT inatoa uhuru wa kuabudu kwa kila mwenye iman hapa nchini ibara ya 19 ya 1977.lakini sisi wenye dini lazima tuzifahamu hizi dini zetu vizuri halafu tuweke wazi kwa viongozi wetu katika taasisi mbalimbali kama za shule na vyuo kwamba ni ibada gani tufanya saa ngapi na wapi ili wao wajue na wanapopanga mambo yao wawezi kutufikiria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu....... Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheriaJe mnawashauri nini wanajamvi?[/QUm hivyo dini isiwe ni chanzo cha kukwamisha maendeleo katika jamii hivi hata kama katiba ya JMT inatoa uhuru wa kuabudu wenye dini lazima wawe na muda maalum wa kuabudu na sio siku nzima mtu anafanya ibada ni ibada ya namna gani hiyo na ilifundishwa na mtume gani? Ibada kama hizi ni tatizo hivi mtu kama ni dactari hivi ataacha kumtibu mtu siku ya jmamos
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?