Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

Umekuja kufanya nn huku wewe...Tambaa zako huku hakukuhusu...

Some people Looks BRIGHT, Until they Open their Mouth.... vipi jumamosi JF mnaruhusiwa kuingia..?
 
Mbona kuna vyuo kama IFM na Mzumbe wanafanya mitihani siku za jumamosi na hatujasikia wasabato kufukuzwa? Au wa TEKU ni masalia?

Hata UDSM, UDOM, SAUT, SUA sembuse TEKU. Masalia wameibuka tena. Wamenikumbusha wale masalia waliopiga kambi uwanja wa ndege kipindi kile wakitaka kwenda Ulaya bila ndege huku ni kukariri maandiko...
 
Mimi kwa kweli sijui i wapi tofauti ya Wasabato na Wayahudi. Hawa watu wana misimamo ya ajabu sana kama Wafilisti tu, hakuna tofauti. Hivi ni yupi kati yao ambaye bweni likiungua hatotoa vitu vyake kwa kuwa ni jumamosi?

Watanzania tusiwe wajinga, huko ni kuabudu siku. Mimi naona unaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa chuo; kwa nini waliwafukuza bila kuwacharaza bakora za makalio pambaf hao?
 
Kila mtu na aheshimu dini ya mwenzake. Hao wanafunzi wanajua misingi ya imani yao ndo maana wakakataa paper. Nawe kama umefundishwa kupuuza imani yako endelea hivyo2 maana at the end kila mtu atatetea nafsi yake.
 
Mimi kwa kweli sijui i wapi tofauti ya Wasabato na Wayahudi. Hawa watu wana misimamo ya ajabu sana kama Wafilisti tu, hakuna tofauti. Hivi ni yupi kati yao ambaye bweni likiungua hatotoa vitu vyake kwa kuwa ni jumamosi?

Watanzania tusiwe wajinga, huko ni kuabudu siku. Mimi naona unaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa chuo; kwa nini waliwafukuza bila kuwacharaza bakora za makalio pambaf hao?

akili zako na za mizengo pinda zinalingana kwa upumbavu
 
Hiyo ni imani kali ya dini wacha wafukuzwe. Elimu ni kwa ustawi ulimwenguni, kama wao wanaishi kwa ajili ya kwenda ahera wasubiri tu hadi siku watakapoaga dunia.
 
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......

Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani

Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria

  1. Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
  2. Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
  3. Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?

Je mnawashauri nini wanajamvi?
Kimsingi wanayo basis kabisa ya kutofanya mitihani..mfano Udsm jamaa huwa hawapigi timed tests za DS kwa first years ambazo mara nyingi hufanywa siku za jumamosi..wengine sijui huwa wanakuja kupiga special sasa nashangaa chuo kisicho na ramani kinakua na basis..ya kutoamini hawa watu wanacho kitaka..sitetei wasabato point ya msingi walikua na haki kutokana na imani yao kutokupiga pepa..hiyo..over..!!!
 
asante kwa rai yako natumaini wamekusikia
 
ukipewa nchi itakua hatari sana
Mimi kwa kweli sijui i wapi tofauti ya Wasabato na Wayahudi. Hawa watu wana misimamo ya ajabu sana kama Wafilisti tu, hakuna tofauti. Hivi ni yupi kati yao ambaye bweni likiungua hatotoa vitu vyake kwa kuwa ni jumamosi?

Watanzania tusiwe wajinga, huko ni kuabudu siku. Mimi naona unaopaswa kulaumiwa ni uongozi wa chuo; kwa nini waliwafukuza bila kuwacharaza bakora za makalio pambaf hao?
 
Wakajiunge na vyuo vyao kisabato, halafu wengi wao ni wanafiki wa kutupwa kimatendo..nimesoma kiduchu shule yao, kuhudhuria mikanisa yao kama magomeni, mwenge na pia kusoma nao chuo yaani mambo yanayotendwa na baadhi yao halafu sabato ni mazito sana halafu kujitia watakatifu..bullshit!! hamna mtu malaika ila hawa wengi wa sda ni big pretenders.
siku ya sabato biblia kubwa, happy sabbath za kumwaga kumbe matendo ya kiasherati imewatawala..eish!!

usihukumu wenzio
hakuna mtu mkamilifu ikiwa tu ni binadamu. usikute dini yako ndo wamejaa watu wenye tabia hizo ila kwa unafiki huwazungumzii ila macho yako umeyaelekeza kwa wasabato.kitoe kibanzi jichon mwako kwanza ndo uangalie namna ya kumsaidia mwenzio
 
kilichowapata hawa wanafunzi ni halali yao, chuo gani huwa kinafungwa kwa sababu za kuabudu? hata mlimani lecture anaweza kuja jumapili au akatoa assignement jumapili au akawatarifu kuwa jumapili kuna darasa,hawa lazima wajue kuwa sasa wako shule na kilichowapeleka hapo ni kusoka,wangeweza kufanya mtihani na baadaye wakenda kusali hata chumbani,Mungu hathaminiwi kwa kuheshimu siku bali ibada.

jarbu kuongea ukwel
ni mliman gani unayoizungumzia? kama ni udsm nayoijua mimi unapotosha uma wa watanzania coz wasabato hawafanyi pepa jmos
 
Hakuna kitu kama hicho wewe, UDSM test zinafanyika hadi X-Mass.
LIKUD acha propaganda wewe,mara nyingi x-mass na boxing day huwa siku za mapumziko na pengine mlikuwa na viongozi class rep bogus au lecturer mhuni.Na UE zilikuwa zinafanyika monday-friday tu.Timed test zilitegemea agreement ya wanafunzi na mhadhiri.Hapakuwa na kupelekana puta kama manamba.Nilimaliza 2005 udsm,Kuna mabadiliko na thinking capacity ya walimu na wanafunzi ni ndogo.Lakini pia kuna avenue nyingi za kufanya mitihani baadaya kushindwa attempt ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
kilichowapata hawa wanafunzi ni halali yao, chuo gani huwa kinafungwa kwa sababu za kuabudu? hata mlimani lecture anaweza kuja jumapili au akatoa assignement jumapili au akawatarifu kuwa jumapili kuna darasa,hawa lazima wajue kuwa sasa wako shule na kilichowapeleka hapo ni kusoka,wangeweza kufanya mtihani na baadaye wakenda kusali hata chumbani,Mungu hathaminiwi kwa kuheshimu siku bali ibada.

nawe pia umekwenda shule na kusoma?.Halafu watu kama nyie ndio baadaye muwe viongozi wa ovyo kabisa wasio na uchaji wa Mungu.Ndio maana hata nchi hii haindelei kwa kuwa shetani anawafuasi wengi sana wasiojitambua.JITAMBUE MKUU.
 
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu....... Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
  1. Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
  2. Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
  3. Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?[/QUn ni kweli katiba ya JMT inatoa uhuru wa kuabudu kwa kila mwenye iman hapa nchini ibara ya 19 ya 1977.lakini sisi wenye dini lazima tuzifahamu hizi dini zetu vizuri halafu tuweke wazi kwa viongozi wetu katika taasisi mbalimbali kama za shule na vyuo kwamba ni ibada gani tufanya saa ngapi na wapi ili wao wajue na wanapopanga mambo yao wawezi kutufikiria
 
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu....... Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
  1. Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
  2. Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
  3. Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?[/QUm hivyo dini isiwe ni chanzo cha kukwamisha maendeleo katika jamii hivi hata kama katiba ya JMT inatoa uhuru wa kuabudu wenye dini lazima wawe na muda maalum wa kuabudu na sio siku nzima mtu anafanya ibada ni ibada ya namna gani hiyo na ilifundishwa na mtume gani? Ibada kama hizi ni tatizo hivi mtu kama ni dactari hivi ataacha kumtibu mtu siku ya jmamos
 
Wakristo huwa wananichekesha sana na mapokeo ya dini zao, wako tayari kuchuja mbu lakini wanashindwa kuchuja Ngamia. Kwa mfano:

1/Kuna wakristo wao issue kubwa ni kushika siku fulani ya Ibada tu, mambo mengine?!

2/Kuna wengine issue ni kuomba kupitia Mama mmoja aliyemzaa Masihi wao, mambo mengine?!

3/Kuna wengine Issue ni kwenda kudumbukizwa kwenye maji fulani, mambo mengine?!

4/Kuna wakristo wengine kwao issue ni kwenda Kanisani kukesha kuomba na kuimba tu, mambo mengine?!

5/Kuna wakristo wengine issue ni kuombewa baraka na miujiza tu, mambo mengine?!

6/Kuna wakristo wengine issue ni kwenda kanisani kulishwa vipande vidogo vya mikate na juice ya Zabibu, mambo mengine?!

7/Kuna wakristo wengine issue kubwa ni kuomba kwa lugha fulani hivi ambazo hazijulikani, mambo mengine?!
 
Back
Top Bottom