Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kabla ya mjadala kuendelea, ningependa kujua ni vitu gani ambavyo si ruhusa kwa SABATOS kuvifanya siku ya jumamosi, tukisha jua hilo then, tutaweza kuuweka mtihani katika kundi gani, baadae kutoa maamuzi, karibu..
Ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu, waache kuchanganya dini na taaluma, vyuoni si mahala pa kudumu ni sehemu za kupita tu na kila sehemu kuna taratibu zake, kila mtu kila sehemu akisema afanye kwa jinsi anavyoamini unadhani kuna la maana litaendelea kweli?
Nadhani wanafunzi waache ujinga, mtihani siku ya J1 wala J2 au siku zingine haina shida. Mbona waislam wanafanya kazi Ijumaa? Mbona shuguli za chaguzi hufanyika J2?
Sabato ya kweli ni pumziko moyoni, lipatikanalo ndani ya Yesu pekee ambaye ni Bwana wa sabato. Siku zote ni za Mungu, hakuna hata moja ambayo ni ya shetani, na siku zote inabidi tumwabudu Muumba.
Kakika nchi za kiarabu, wakristo hukusanyika siku ya Ijumaa (J1 na J2) ni siku za kazi.
Alafu wakati leo hapa ni J1 kwingine ni Ijuma au J2. So kasome maandiko vizuri, wahsauri wanafunzi wenu wakafanye mitihani siku yoyote itakapotolewa.
Pia Yesu alisema msingi wa sabato ni kufanya mema, kama vile "kumokoa punda shimoni", mtijani wako na wa thamani sana kuliko thamani ya Punda!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mbona kuna vyuo kama IFM na Mzumbe wanafanya mitihani siku za jumamosi na hatujasikia wasabato kufukuzwa? Au wa TEKU ni masalia?
Kuna jamaa yangu ni msabato na anaishi na demu wake geto moja.linapofika swala la kufanya mitihani au presentation jumamosi alikua anagombana sana na ma doctor.siku moja nikamwambia mbona unaishi na mwanamke na mnazini huoni hiyo ni dhambi au dhambi ni kufanya kazi jumamosi?amenichukia mpaka leo.wakati mwingine haya mambo ya imani tunajichanganya sana.
sabato ni siku ya kwanza ya juma, na wala sio jumamosi, someni maandiko
Hao waache ujinga wa kuleta dini vyuoni mbona waislamu wanafanya mitihani ijumaa,wasituletee visilani basi waende vyuo vya kisabato.
Walisoma By Laws za chuo wakati wa kujiunga au kurudisha form za kujoin na chuo? Wao kwa nini hawakuchagua vyuo vya kisababto kama wanapenda usabato? Chezea warumi weweee utageuka kuwa six leaver hata mahakama ifikie wapi!!
SAUT Mwanza walileta hizo nyodo, wakafukuzwa bila kurudishiwa chao. Wachache wakaomba msamaha wakasamehewa.
Afu wengi wa wanafunzi (Wasabato ) walio goma walikuwa wanaishi kama mke na mme bila ndoa, hivyo kukutanisha vikojoleo kwao ilikuwa kama kawa licha ya amri za Mungu kukataza. Tena kipindi hicho jmosi haikuwa siku ya masomo ila mwl aliweza kuomba wanafunzi kusoma siku hiyo. Tangia wasabato walete kimbelembele hadi leo jmosi ikawekwa kwenye time table kama siku ya j3 hadi Ijumamosi mapindi kama dawa na paper kama kawa J3 hadi Jmosi.
Bwana Yesu Asiwe.
Huh,.!!kumbe mwita ni SDA...hahahaha,nawajua sana hao jamaa,maana nimesoma shule ya waadventist...anyway katika madhehebu ya kikristo yote nadhani wasabato wamake sense.
sure!indeed!source:kamusi ya Kiswahili sanifu,wikipediaHivi JumaMOSI ni sabato?
Nikirejea Ibara ya 19 ya Katiba yetu ya JMT ya Mwaka 1977 inatoia Uhuru wa Mtu Kuabudu.......
Hali kwa Chuo Kikuu cha Theophile Kisanji ni Tofauti kwani wanafunzi wapatao 8 wamefukuzwa Chuoni hapo kwa madai ya kutofanya mitihani iliyopangwa kufanyika siku ya Jumamosi Sabato kwamba kwa kanuni za Chuo hicho hiyo si sababu ya kumfanya mwanafunzi asifanye mitihani
Wanafunzi hao wapo mitaani kwa sasa wakisaka msaada wa kisheria
- Je yamkini wakati wanafunzi hao wanapokelewa hilo halikuwekwa bayana?
- Mbona Mitihani isiwe Jumapili?
- Wapi Uhuru wa Kuabudu kwa mujibu wa Katiba JMT na sheria?
Je mnawashauri nini wanajamvi?
Hao wanastahili kufukuzwa na naunga mkono uongozi wa chuo kwa 100 asilimia, wangekwenda kusoma vyuo vya kisabato kuepeka usumbufu kuliko kuleta usumbufu kwenye vyuo vya umaa ama vya mathehebu mengine
Jaribu kuongeza wigo wa maarifa hapa: http://answers.libertybaptistchurch.org.au/answers/111.pdf na hapa pia: Criticism of the Seventh-day Adventist Church - Wikipedia, the free encyclopedia..anyway katika madhehebu ya kikristo yote nadhani wasabato wamake sense.
Hahahaha...MKUU Elungata kwani sifananii nao?