A
Na mzazi asiyekuwa na uwezo kiuchumi afanye nini kuepukana na usumbufu kama huo?Kwa mzazi/mlezi mwenye uwezo wa kifedha/kichumi ni bora amsomeshe kwa fedha zake mwenyewe mtoto wake ili kuepukana na usumbufu usio wa lazima.
Ndiyo apambane na hali yake. Dunia haina usawa.Na mzazi asiyekuwa na uwezo kiuchumi afanye nini kuepukana na usumbufu kama huo?
Apambane na joto la jiwe 😁Ndiyo apambane na hali yake. Dunia haina usawa.