wanafunzi wapatao 120 ambao ni miongoni mwa wanafunzi 215 ambao pesa zao za kujikimu kwa mwaka wa masomo 2012 na 2013 hawajapewa na bodi nakuishia kudanganywa na baadhi ya watumishi wa bodi mpaka kutumiwa cheque namba bandia usiku wa kuamkia leo wamengia dar na juma tatu asubuhi wanamkia bodi ya mkopo kuonana na mkurugenzi awambia hatma yao maana hawalewi mpaka sasa kipi kinachoendelea kwani bodi inasema itawalipa na wengine inaonekana bodi imewalipa ila wao wanafunzi hawajapata hizo pesa