Wanafunzi wa SAUT MWANZA wapatao 120 wamefika dar salama 3 asubuhi wanamkia bodi ya mkopo

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
wanafunzi wapatao 120 ambao ni miongoni mwa wanafunzi 215 ambao pesa zao za kujikimu kwa mwaka wa masomo 2012 na 2013 hawajapewa na bodi nakuishia kudanganywa na baadhi ya watumishi wa bodi mpaka kutumiwa cheque namba bandia usiku wa kuamkia leo wamengia dar na juma tatu asubuhi wanamkia bodi ya mkopo kuonana na mkurugenzi awambia hatma yao maana hawalewi mpaka sasa kipi kinachoendelea kwani bodi inasema itawalipa na wengine inaonekana bodi imewalipa ila wao wanafunzi hawajapata hizo pesa
 
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????
 
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.
 
Hiyo nauli ndiyo wangetumia kujikimu.HESLB ni janga la Taifa, nilikaa two years bila mkopo na ukiwauliza wanakwambia next week au jina lako limeingia kwenye Batch inayofuata....Hadi nilipoonana na Mkurugenzi tena kwa ki memo cha mkubwa fulani serikalini ndio mzigo ukaingia kwa account........
 
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????

Utalii wa ndani
 
wanafunzi wapatao 120 ambao ni miongoni mwa wanafunzi 215 ambao pesa zao za kujikimu kwa mwaka wa masomo 2012 na 2013 hawajapewa na bodi nakuishia kudanganywa na baadhi ya watumishi wa bodi mpaka kutumiwa cheque namba bandia usiku wa kuamkia leo wamengia dar na juma tatu asubuhi wanamkia bodi ya mkopo kuonana na mkurugenzi awambia hatma yao maana hawalewi mpaka sasa kipi kinachoendelea kwani bodi inasema itawalipa na wengine inaonekana bodi imewalipa ila wao wanafunzi hawajapata hizo pesa

Bod wapuuzi sana yan kila mtanzania mwizi mwiz tuu ndomana hatuendelei watu na heshma zao wanaiba tuhela tudogo hata aibu hawaoni
 
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????

waangalie wasije chezea jiji la maraha, watapasahau mwanza buree
 
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.

we ni muongo na mnafiki, hakuna ki2 kama hicho.
 
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.

Si kila jambo lina mtazamo wa kisiasa.hata wanafunzi wanajua ni wapi watasaidiwa tatizo lao. Elewa hivyo
 
Uliifuatilia ile thread ya wanafunzi wa SAUT kumuomba mbunge wao awasaidie kwenye hii ishu ya bodi?
 
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.

Siasa hizi ndizo zinatuua Watanzania! Hivi kweli hujui kuwa katika taasisi kama ya wanafunzi hao wana serikali yao ambayo inajumuisha wawakilishi katika maswala mbalimbali kama hilo la mikopo?!

Nakubaliana na anayesema hao wanafunzi wana hamu ya kuona mji wa Dar es Salaam, kama ni kweli wamefuata mikopo yao; hawakupaswa kwenda huko siku za weekend. Hawako makini na mipango yao! Na kwa mtaji huo naamini kuwa hawajapewa mikopo kwa bahati mbaya bali ni kwasababu ya makosa ambayo huenda walifanya wakati walipokuwa wanajaza fomu za mikopo.
 
Jamani hii weekend watakaa wapi?
Bora wangetuma wawakilishi maana hapo wametumia hela nyingi na ukute hawana appointment na bodi ya mikopo watajuta
 
Siasa hizi ndizo zinatuua Watanzania! Hivi kweli hujui kuwa katika taasisi kama ya wanafunzi hao wana serikali yao ambayo inajumuisha wawakilishi katika maswala mbalimbali kama hilo la mikopo?!

Nakubaliana na anayesema hao wanafunzi wana hamu ya kuona mji wa Dar es Salaam, kama ni kweli wamefuata mikopo yao; hawakupaswa kwenda huko siku za weekend. Hawako makini na mipango yao! Na kwa mtaji huo naamini kuwa hawajapewa mikopo kwa bahati mbaya bali ni kwasababu ya makosa ambayo huenda walifanya wakati walipokuwa wanajaza fomu za mikopo.

Jamani, mbona hamna huruma kwa vijana hawa wanaotafuta elimu ya kulijenga taifa. Acheni kuwakejeli. Tukiwalea vizuri vijana wetu tunawajengea sababu ya kuwa wazalendo.
 
Kila mwanafunzi wa elimu ya juu apate mkopo asilimia 100. Hapo tutaondoa longolongo. Kwanini bodi ya mikopo isumbue wanafunzi badala yakuacha wasome wanaanza kufuatilia mikopo. Halafu wakifeli tusemeje. Ondoa hiyo bodi ya mikopo.
 
Back
Top Bottom