hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????

hawajawahi kufika Dar, hakikisha wanaenda kuona bahari kabla ya kuondoka.
wanafunzi wapatao 120 ambao ni miongoni mwa wanafunzi 215 ambao pesa zao za kujikimu kwa mwaka wa masomo 2012 na 2013 hawajapewa na bodi nakuishia kudanganywa na baadhi ya watumishi wa bodi mpaka kutumiwa cheque namba bandia usiku wa kuamkia leo wamengia dar na juma tatu asubuhi wanamkia bodi ya mkopo kuonana na mkurugenzi awambia hatma yao maana hawalewi mpaka sasa kipi kinachoendelea kwani bodi inasema itawalipa na wengine inaonekana bodi imewalipa ila wao wanafunzi hawajapata hizo pesa
hao wamekua na hamu ya kuja kuona Jiji tu; wanafunzi 120 wataingia Ofisi gani, kwanini wastume uwakilishi kwa ajili ya kuja kuonana na Mkurungezi? na kwanini wacje cku muruha za kazi badala yake wanakuja Wikiendi?????
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.
we ni muongo na mnafiki, hakuna ki2 kama hicho.
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.
Si kila jambo lina mtazamo wa kisiasa.hata wanafunzi wanajua ni wapi watasaidiwa tatizo lao. Elewa hivyo
Mwakilishi wao mbunge Wenje si amesema yeye hiyo sio kazi yake. Waache vijana wachakalike wenyewe, mbunge yuko busy na biashara zake.
Siasa hizi ndizo zinatuua Watanzania! Hivi kweli hujui kuwa katika taasisi kama ya wanafunzi hao wana serikali yao ambayo inajumuisha wawakilishi katika maswala mbalimbali kama hilo la mikopo?!
Nakubaliana na anayesema hao wanafunzi wana hamu ya kuona mji wa Dar es Salaam, kama ni kweli wamefuata mikopo yao; hawakupaswa kwenda huko siku za weekend. Hawako makini na mipango yao! Na kwa mtaji huo naamini kuwa hawajapewa mikopo kwa bahati mbaya bali ni kwasababu ya makosa ambayo huenda walifanya wakati walipokuwa wanajaza fomu za mikopo.