Wanafunzi wa Second Cohort, Law School: Tuhabarishane!

Wanafunzi wa Second Cohort, Law School: Tuhabarishane!

Learned bros naona bado kuvinjari kwa mara nyingine mitaa hii!
 
Wadau bado nasubiri hoja zenu kama zipo kuhusu masuala mbali mbali yahusuyo Law School of Tanzania!
 
Haka kajukwaa ketu ka Sheria naona kana wachangiaji wachache sana, especially kwenye thread hii, ingekuwa mambo ya mahusiano (mapenzi in paricular), siasa, udaku, etc, post zingefika mia kidogo! Labda kwa kuwa jambo lenyewe haliwahusu watu wengi au?


Pole sana mkuu,LAWYERS ARE MANY BUT LEARNED ARE FEW!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom