Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Shimba ya Buyenze

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
182,097
Reaction score
1,099,383
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani

Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]
Mods please msiunganishe uzi huu na nyuzi zingine za vitabu.
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya vitabu vya shuleni na vyuoni tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]


 

Attachments

Mkuu kwanza nikupongeze Sana na mm nitakuwa nawapa past papers hapa kwa SHULE ZA MSINGI hasa mocks za mikoa mbalimbal na mitihan ya taasisi mbalimbalii ilikuwasaidia watoto wetu

Nimependa wazo lako mkuuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu. Itasaidia mno!
 
Hii hapa mitihani mbalimbali ya darasa la saba.
Mitihani hii ni kwa hisani ya mdau wa elimu Peramiho yetu.
Asante sana mdau na kama unayo mingine lete tu tuiweke au unaweza tu kuiweka hapa moja kwa moja.


 

Attachments

Mitihani zaidi ya darasa la saba.
Mitihani hii ni kwa hisani ya mdau wa elimu Peramiho yetu.
 

Attachments

Back
Top Bottom