Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Asante sana mkuu. Itasaidia mno!Mkuu kwanza nikupongeze Sana na mm nitakuwa nawapa past papers hapa kwa SHULE ZA MSINGI hasa mocks za mikoa mbalimbal na mitihan ya taasisi mbalimbalii ilikuwasaidia watoto wetu
Nimependa wazo lako mkuuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Asante mkuuKauzi kametulia
Shukran mkuuTunaendelea.
Hiki hapa kinaitwa Fundamentals of Physical Geography na ni kwa ajili ya wanafunzi wa sekondari
Jaribu kutumia kompyuta labda itakubaliNikitaka ku upload mitihan inaniandikia failed sijui tatzo nn wakuu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Itakuwa vyema sana mkuu...Mkuu wazo zuri sana umetoa.. Tutasaidiana kupachika vitu hapa kadri itakavyowezekana
Tuko pamoja. Nawe kama una vitabu vya mashuleni na vyuoni huko we virushe tu hapa...Shukran mkuu
Kwa kweli hawana kisingizio cha kufeli...Vijana wanakila namna ya kufaulu kwa zama hizi kwa kweli