Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

Naomba kama una notes presentation na vitabu vya philosophy. Diploma na degree
Vingine hivi hapa:
Philosophy 101
30-Seconds Philosophy
The Philosophy Book
The Story of Philosophy
 

Attachments

Asante. Sana. Vya dokta mihanjo nimetafuta nimekosa. Nimewai wasiliana naye lakini sikufanikiwa.
 
Change ni sisi


Nitatupia kadri nitakapo pata nafasi
 
Shukrani sana. Wapi naweza Pata hivyo vya Adolf .
Hata sijui aisee. Mimi nilinunua hiki na chenzake kimoja ofisini kwake UDSM. Sasa hata sijui yuko wapi.

Kama uliwasiliana naye bila shaka atakuwa alikupa maelekezo.

Poor marketing kabisa. Unaandika vitabu halafu kuvipata shida [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Naomba kama una notes presentation na vitabu vya philosophy. Diploma na degree
Vingine hivi hapa viwili. Kimoja (An Introduction to Philosophy) kinatumiwa vyuoni.
 

Attachments

Uzi mzuri Sanaa

Naomba soft copy ya vitabu vya Tanzania Institute of Education (TIE) wakuu kwa primary schools English medium
Natanguliza shukrani
Asee hivi mimi sina kabisa. Labda msamaria mwema mwingine akiwa navyo atakusaidia.
 
Mkuu SHIMBA YA BUYENZE shukran sana kwa msaada wako wa kututemea madini but ningeomba unisaidie PDF za masomo ya A LEVEL Kam HKL kwan natarajia kurudi Dasani japo ntasoma kama private au kwa yeyote alonazo hasa zinazofundishwa kwenye mashule ya private
 
Asante mkuu. Ukipitia huko juu kuna notisi za Historia za Kidato cha 5 na 6 zimewekwa. Na za Kiswahili pia. Mimi nitakuongezea zingine japo kwa sasa niko bize kidogo. Nikisahau nikumbushe.
 
1. Secondary Mathematics Form III Students' Book (Kenya)

2. Secondary Mathematics Form III Teachers' Guide Book (Kenya)
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…