Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
- Thread starter
-
- #721
Asante sana bro. Umekuwa msaada mkubwa sana kwenye uzi huu tangu mwanzo. Ubarikiwe ππΏHizo hapo
Lengo letu ni moja mkuu kuinua elimu kwa vijana na taifa kwa ujumlaAsante sana bro. Umekuwa msaada mkubwa sana kwenye uzi huu tangu mwanzo. Ubarikiwe ππΏ
Wanajali basi? Ila tuendeleeni tu kuwasaidia kwa kadri tunavyoweza.Lengo letu ni moja mkuu kuinua elimu kwa vijana na taifa kwa ujumla
Mkuu ww ni legend....hujui tu umefanyaje fanyaje...!Wanajali basi? Ila tuendeleeni tu kuwasaidia kwa kadri tunavyoweza.
Kua mpole hairuhusiwi mpaka matokeo yakitokaNaomba mwenye mitihani ya advance physics necta walioifanya mwaka huu 2023πππ
Si yalishatoka na madogo ndo wapo chuo we uko dunia gani mkuu?Kua mpole hairuhusiwi mpaka matokeo yakitoka
Uzee huu nikajua ya form fourSi yalishatoka na madogo ndo wapo chuo we uko dunia gani mkuu?
Ngoja nimuwekeeSi yalishatoka na madogo ndo wapo chuo we uko dunia gani mkuu?
sanahapa pazuri