Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

Wewe simu yako mkuu unaitumia vizuri? Unamtegemea tineja awe na self control?

Simu zimefanya kazi ya ualimu kuwa ngumu mno (mimi ni mwalimu). Unahangaika kufundisha kumbe watoto wako hukoo eksi videos dot com wanaangalia step mom seduces her teenage muscular son. Ni tatizo kubwa na kusema kweli ni la kujiletea tu.

Na kila kitu watagugu (Mh. Makalla huyo). Yaani unakuta mtu hawezi kujibu swali hata lile rahisi mpaka agugu. Hovyo tu!
 
Wafanye mjadala wa wazi wadau wachangie pros and cons ndio tufike hitimisho otherwise kila mtu atakua analeta speculation zake.
 
Nido X zitajaza memoryyote ya wanafunzi na hii sheria ya mimba hee
Hee frusa mpya kwa babycare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…