Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

Tatizo sio simu,shida ni self control za wanafunzi wenyewe na kujua umuhimu wa kutumia hizo simu wakiwa shuleni, tusiangalie tu madhara, kutumia simu pia kuna faida zake vilevile.

Binafsi naona kama kweli simu zikitumika vizuri zinaweza kuleta faida kama ilivyokusudiwa.
Wewe simu yako mkuu unaitumia vizuri? Unamtegemea tineja awe na self control?

Simu zimefanya kazi ya ualimu kuwa ngumu mno (mimi ni mwalimu). Unahangaika kufundisha kumbe watoto wako hukoo eksi videos dot com wanaangalia step mom seduces her teenage muscular son. Ni tatizo kubwa na kusema kweli ni la kujiletea tu.

Na kila kitu watagugu (Mh. Makalla huyo). Yaani unakuta mtu hawezi kujibu swali hata lile rahisi mpaka agugu. Hovyo tu!
 
Wafanye mjadala wa wazi wadau wachangie pros and cons ndio tufike hitimisho otherwise kila mtu atakua analeta speculation zake.
 
Nido X zitajaza memoryyote ya wanafunzi na hii sheria ya mimba hee
Hee frusa mpya kwa babycare
 
Back
Top Bottom