Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Hongereni kwa serikali pamoja na urusi kuliko hao waukraine wabaguzi wasio na utu bata kabisa
Marekani nyani pia.Urusi ndio ana utu?. Wote manyani tu.
Tuliza hilo barango ndugu.Urusi ndio ana utu?. Wote manyani tu.
Kwann wapitie mpaka wa urusi? Wakati wenzao wanatokea Poland au tukubaliane tuko Kiputini
Kuna mtu mmoja humu alitamka wazi kabisa kuwa yeye yupo upande wa Urusi hata kabla ya taarfia za ubaguzi hazija_trend. Namuunga mkonoHongereni kwa serikali pamoja na urusi kuliko hao waukraine wabaguzi wasio na utu bata kabisa
Kwani hujasikia wa ukraine wanavyowabagua weusi muda wa kutoka kwa treni kuja poland?Unachotakiwa kufahamu kuna raia wengi sana waafrika wamekwama ukraine kwasababu ya u africa wao.Kwann wapitie mpaka wa urusi? Wakati wenzao wanatokea Poland au tukubaliane tuko Kiputini
Zaidi
Usizungumzie ubaguzi mi nadhan waafrica waliokwama tukubaliane kwamba ni u frica wao tu, sababu tokea russia wanapeleka majeshi mpakani na ukrain Marekani na mataifa kadhaa waliwataka raia wao waondoke na kwamba hawatawaokoa lakini ajabu muafrika hakushtuka au sijuw tuseme ni uzuzu waliendelea kubaki mpaka siku ya vita eti wanataka waokolewe sawa na wa u kraine, nonsense - Let them face the consequences - Mimi suali langu ni kwanini Watanzania pekee wataokolewa ni russia? sijawahi sikia taifa jengine russia likiwadhamini, hapa tunapata picha gani?Kwani hujasikia wa ukraine wanavyowabagua weusi muda wa kutoka kwa treni kuja poland?Unachotakiwa kufahamu kuna raia wengi sana waafrika wamekwama ukraine kwasababu ya u africa wao.
Hiii haimaanishi kwamba warusi sio wabaguzi bali kinachotakiwa kwa sasa ni usalama wa watu kwanza.
Mbona huwalaumu wa ukraine wanaohangaika na treni muda huu kwenda poland?Au wao hawakumuona mrusi wakati anapeleka majeshi yake mpakani?Usizungumzie ubaguzi mi nadhan waafrica waliokwama tukubaliane kwamba ni u frica wao tu, sababu tokea russia wanapeleka majeshi mpakani na ukrain Marekani na mataifa kadhaa waliwataka raia wao waondoke na kwamba hawatawaokoa lakini ajabu muafrika hakushtuka au sijuw tuseme ni uzuzu waliendelea kubaki mpaka siku ya vita eti wanataka waokolewe sawa na wa u kraine, nonsense - Let them face the consequences - Mimi suali langu ni kwanini Watanzania pekee wataokolewa ni russia? sijawahi sikia taifa jengine russia likiwadhamini, hapa tunapata picha gani?
Wewe mbongo unataka kujifananisha na m-ukraine kwenye vita kwamba muokolewe sawa kwa vile ukraine wao watu milioni 44 walibaki kabla ya vita muje muwe na haki sawa kwenye uokozi?Mbona huwalaumu wa ukraine wanaohangaika na treni muda huu kwenda poland?Au wao hawakumuona mrusi wakati anapeleka majeshi yake mpakani?