Wanafunzi Wa Vipimo CBE mbioni kuacha Masomo kwa kukosa Ada.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Ikiwa takribani miezi 10 imepita baada ya wizara ya viwanda na biashara kufuta udhamini wa wanafunzi wa vipimo cbe waliokuwa wanawadhamini.Na kuambiwa waombe bodi ya mikopo,wote wamekosa...na wameshauriwa kama watakosa ada wahairishe kusoma.
Serikali ijiandae tena kukosa wataalamu wa vipimo.
Hii ndio Tz.
 
vipimo vya mizani ya nyama au? Naunga mkono serikali kusitisha,kwa sababu pesa zinapotea ovyo
 
Acha kudharau usichokijua,kozi wanayosoma wanafunzi hao ni Nadra kwa kwetu Tanzania,Huwa inatoa wataalamu wa vipimo,kuanzia mizani na vipimo vingine vyote(science of measurement).acha dharau.
 
Edward Lowassa ataibuka mshindi

Mtu alikua anaingiza 150M per day kwa uchochoro leo unampa Funguo Ya Hazina ya Taifa!! Atachota ngapi????.

Think twice kijana Vema yako moja ni muhimu Sana 2015 usije ukaijutia Daima.
 
alikuwa anakula peke yake hizo au.....any proof....????
 
Mtu alikua anaingiza 150M per day kwa uchochoro leo unampa Funguo Ya Hazina ya Taifa!! Atachota ngapi????.

Think twice kijana Vema yako moja ni muhimu Sana 2015 usije ukaijutia Daima.

hivi ww kijana umekuwa CAG wa Lowassa kuanzia lini au wamekudanganya wapuuzi ambao wana majungu tu,sasa upende au usipende lazima Lowassa ataibuka mshindi hata kama wewe ni mjumbe wa NEC
 
Serukamba at work.
 
Nahisi una undugu na huyo Lowa.s.a maana unavyomtetea tu inadhihirisha.

Sitaki kuamini kama kuna vijana kama wewe bado wanasapoti ufisadi nchini.

Jitambue.
 
mm najitambua sana kuliko unavyofikiria ww,nakwambia tuombe mungu atupe uzima mpaka 2013,tutaona nani ataibuka mbabe
 
Mtu wako atashinda 2013 kama ulivyoandika ila si 2015!
 
mm najitambua sana kuliko unavyofikiria ww,nakwambia tuombe mungu atupe uzima mpaka 2013,tutaona nani ataibuka mbabe

Ndio maana nikakwambia hujitambui. Hata mwaka wa uchaguzi huujui.

Kalale dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…