Ndio maana nikakwambia hujitambui. Hata mwaka wa uchaguzi huujui.
Kalale dogo
siwezi ongea na watoto wa kizazi cha mulugo,boya tu ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikakwambia hujitambui. Hata mwaka wa uchaguzi huujui.
Kalale dogo
Ndio maana nikakwambia hujitambui. Hata mwaka wa uchaguzi huujui.
Kalale dogo
siwezi ongea na watoto wa kizazi cha mulugo,boya tu ww
mtoto mjinga sanaa huyu METAL kapata three kabahatika kupata chuo analeta kelele za kijinga
ndo mana hujui vizuri mambo ya siasa
mtoto mjinga sanaa huyu METAL kapata three kabahatika kupata chuo analeta kelele za kijinga
Kijana tumia facts utafanikiwa. Shirikisha ubongo unapotaka kufanya jambo.
You dumb f..ck
Sidhani kwa kuwa mulugo ni kilaza basi na ndugu zake wote ni vilaza. Ila kwa mujibu wa hicho ulichokiandika mwanzo - na nikakitolea maoni yaliyopelekea wewe kuniita "dogo wa mulugo" -wewe ndie mulugo!2015 na siyo 2013 ww dogo wa mulugo
hivi ningekuwa nilipata three kweli ningechaguliwa UDSM? afu ww upo muccobs,je kati yangu na ww nani kabahatika kupata chuo?,dogo ww boya sana matokeo yako mabovu ndo yamekufanya uchaguliwe chuo chako cha mademu(muccobs),siku zote vipanga wenye tokeo zuri huchaguliwa UDSM.
Sidhani kwa kuwa mulugo ni kilaza basi na ndugu zake wote ni vilaza. Ila kwa mujibu wa hicho ulichokiandika mwanzo - na nikakitolea maoni yaliyopelekea wewe kuniita "dogo wa mulugo" -wewe ndie mulugo!
Nenda tabora boys kaulize dogo aliyepiga one kali 2010 , UDSM mpaka iii.16 wapo wengi sanaaa na nina uhakika wewe hujapata one kabisa shule za kawaida mwaka huu hakuna one za SCIENCE kabisaa