Wanafunzi Wa Vipimo CBE mbioni kuacha Masomo kwa kukosa Ada.

mtoto mjinga sanaa huyu METAL kapata three kabahatika kupata chuo analeta kelele za kijinga

hivi ningekuwa nilipata three kweli ningechaguliwa UDSM? afu ww upo muccobs,je kati yangu na ww nani kabahatika kupata chuo?,dogo ww boya sana matokeo yako mabovu ndo yamekufanya uchaguliwe chuo chako cha mademu(muccobs),siku zote vipanga wenye tokeo zuri huchaguliwa UDSM.
 
2015 na siyo 2013 ww dogo wa mulugo
Sidhani kwa kuwa mulugo ni kilaza basi na ndugu zake wote ni vilaza. Ila kwa mujibu wa hicho ulichokiandika mwanzo - na nikakitolea maoni yaliyopelekea wewe kuniita "dogo wa mulugo" -wewe ndie mulugo!
 
hivi ningekuwa nilipata three kweli ningechaguliwa UDSM? afu ww upo muccobs,je kati yangu na ww nani kabahatika kupata chuo?,dogo ww boya sana matokeo yako mabovu ndo yamekufanya uchaguliwe chuo chako cha mademu(muccobs),siku zote vipanga wenye tokeo zuri huchaguliwa UDSM.

Nenda tabora boys kaulize dogo aliyepiga one kali 2010 , UDSM mpaka iii.16 wapo wengi sanaaa na nina uhakika wewe hujapata one kabisa shule za kawaida mwaka huu hakuna one za SCIENCE kabisaa
 
Sidhani kwa kuwa mulugo ni kilaza basi na ndugu zake wote ni vilaza. Ila kwa mujibu wa hicho ulichokiandika mwanzo - na nikakitolea maoni yaliyopelekea wewe kuniita "dogo wa mulugo" -wewe ndie mulugo!

ahaaaaaaa,ww utakuwa mke wa mulugo basi!
 
Nenda tabora boys kaulize dogo aliyepiga one kali 2010 , UDSM mpaka iii.16 wapo wengi sanaaa na nina uhakika wewe hujapata one kabisa shule za kawaida mwaka huu hakuna one za SCIENCE kabisaa

hivi utakuweje na one kali afu unachagua chuo chako cha kata?,afu unajuaje kama me ni mwaka wa kwanza au ninaendelea?,vipanga wa mzumbe,kibaha,ilboru,tabora na feza boyz wako UDSM,ww inawezekana ulikuwa unasoma tabora girls ndo ulikuwa unawakimbiza sana ndo maana umechaguliwa muccobs chuo cha mademu wetu wazuri sana
 
Back
Top Bottom