Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomea kozi ya kiswahili na mawasiliano wana nafasi ya kupata ajira

mtaalamu wenu

New Member
Joined
Oct 27, 2025
Posts
3
Reaction score
2
Hivi wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomea kozi ya kiswahili na mawasiliano wana nafasi ya kupata ajira katika ukufunzi wa ndani ya nchi na hata nje?
 
Hivi wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomea kozi ya kiswahili na mawasiliano wana nafasi ya kupata ajira katika ukufunzi wa ndani ya nchi na hata nje?
Maifa kama South Africa, Botswana, Namibia, Central Africa republic, China , Sweden, Canada ,US, etc wanatafuta sana walimu nguli wa kiswahili kufundisha raia na watoto wao. Kiswahili ni lugha kubwa inayoelekea kuja kuwa lugha ya pili baada ya English kuzungumzwa Duniani.


Nawashauri wawe wafuatiliaji na wasikae kulalamikia serikali hii ya mapopoma. Huko nje fursa ni nyingi sana na wanahitajika sana.
 
Niliona tangazo la kazi ya Kuifundisha kiswahili Groke(AI tool ya Elon Musk). Mshahara kwa wiki(siku Tano) ni $800 sawa na 2,000,000 TZS. Ina maana kwa mwezi ni 8,000,000 TZS.
 
Asante sana kwa kunipa muongozo huu umesaidia wanafunzi wengi wanaodhania wamepotea kwa kuchagua kozi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…