wanafunzi wa vyuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Afya na NACTVET zishughulikie matokeo yetu ya diploma kwa haraka ili yafikishwe Vyuoni

    Baadhi ya vyuo vimefunguliwa tangu tarehe 19, na wanafunzi wanatakiwa kuripoti chuoni ili kuanza muhula mpya wa masomo. Hata hivyo, changamoto inayotukabili ni kwamba hatujapokea matokeo yetu, huku kuripoti chuoni kukihitaji kulipa ada na kujiandaa kwa mahitaji mengine ya masomo. Tunapouliza...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mwanafunzi wa chuo alalamika kuhusu wanafunzi wa vyuo kulipishwa pesa kwa ajili ya kufanya 'field' katika hospitali kubwa

    Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya vitendo (field practice) katika hospitali kubwa nchini. Ameeleza kuwa mbali na ada kubwa za chuo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania TAHLISO wameandaa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu “Never Again” linalofanyika Ubungo Plaza, leo tar 16/05/2026!

    Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania. Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Chadema la jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vya juu CHASO 2026

    02 May 2026 KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomea kozi ya kiswahili na mawasiliano wana nafasi ya kupata ajira

    Hivi wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosomea kozi ya kiswahili na mawasiliano wana nafasi ya kupata ajira katika ukufunzi wa ndani ya nchi na hata nje?
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

    Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
  8. Mchawi_mweupe

    JamiiForums Tanzania Kozi 5 zenye fursa nono Tanzania kwa miaka 5 ijayo: mwongozo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

    Wanafunzi wengi wanaoingia vyuoni hujiuliza: "Kozi ipi itanipa ajira au fursa nzuri baadaye?" Katika mazingira ya sasa ya Tanzania na dunia kwa ujumla, hizi hapa ni kozi tano zinazotabiriwa kuwa na nafasi kubwa kwa miaka mitano ijayo 1. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) Kadri Tanzania...
  9. Mupirocin

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu: Fahamuni Umuhimu wa Psychographic Segmentation Katika Ulimwengu wa Kisasa wa Marketing

    Wanafunzi wa marketing na biashara kwa ujumla, ni muhimu sasa kuelewa kuwa soko la leo haligawanywi tu kwa kipato (income), jinsia (gender), au umri (age). Dunia ya kisasa imeingia kwenye hatua ya deep consumer understanding ambapo psychographic segmentation ndiyo silaha kuu ya makampuni...
  11. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

    Ukweli mchungu! Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko. Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa. Wakirudi majumbani...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais wa TAHLISO awaonya Wanafunzi wa vyuo kupuuza Wanasiasa wanao pandikiza chuki

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha vurugu kwa lengo la kupata madaraka. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  13. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
Back
Top Bottom