02 May 2026
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA WA CHADEMA CHASO 2026, UKUMBI WAFURIKA
View: https://m.youtube.com/watch?v=O9I_Z6gJWfA
CHADEMA Students Organization (CHASO) Tarehe 02/05/2026 wasomi wa vyuo vikuu na vya kati Mkoa wa Dar es Salaam na vyuo jirani watakutana katika kongamano la 2026 kujadili hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii nchini Tanzania
Mgeni rasmi ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema bara Mhe. John Wegesa Heche aongea mazito kwa vijana wa CHASO huku Boni Yai mwenyekiti wa CHADEMA akiwakaribisha viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa vijana kushiriki kikamilifu katika kushika hatamu ( ku shape) maamuzi ya nchi hii.
Naye mwanasheria mkuu wa CHADEMA Dr. Rugemeleza Nshala awasimulia jinsi enzi zao wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu hawakuacha mambo na sera mbovu za serikali zipite bila kupingwa kwa hoja na hata maandamano
Ukumbi ulifurika vijana kibao wa CHASO huku viongozi wakuu wa CHADEMA wakiwapika vijana kuwa wazalendo wa kweli maana ni wao vijana wa CHASO miaka 40 ijayo 2066 watakuwa wanaatharika wao pamoja na watoto wao na wajukuu zao kwa kuwa 2026 waliruhusu sera mbovu za chama dola kongwe CCM
Vijana wa CHASO wamepewa takwimu, ushahidi na mifumo mibovu ya viongozi wa CCM walio wazee ambao hawatakuwepo duniani 2050 na kuwaachia masumbuko na maisha magumu.
Hivyo ni muhimu vijana kunyakua na kudai mamlaka ya kushiriki katika maamuzi ya mustakabali wa nchi ya Tanzania kwa kuwa ni wao waathirika wakuu wa sera mbovu za CCM