Kongamano la Chadema la jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vya juu CHASO 2026

Balaa kuu

Vijana waliojazana ktk Ukumbi wa mkutano mjini Iringa Tanzania wa makamu mwenyekiti John Heche wa CHADEMA akizugumza na vijana tunduizi wa CHASO CHADEMA walipuka kukubali kuwa muda huu ni wa kuchukua maamuzi badala ya kuwaachia wazee waovu wa chama dola kongwe kuamua mustakhabali wa taifa wakati 2050 vikongwe hawa wachache hatakuwepo duniani
1781382553939.jpeg

13 Juni 2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @HecheJohn, alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya CHASO CHADEMA Mkoa wa Iringa, Tanzania yaliyofanyika kuanzia mapema kabisa saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa Gentle Hill mjini Iringa.

Baada ya mahafali hayo, Mhe. @HecheJohn alihutubia Mkutano mkubwa wa ulioanza saa 8:00 mchana katika Viwanja vya Mwembetogwa, Iringa Mjini.

Wanachama, wapenzi, wafuasi na wananchi walijitokeza kwa wingi kushiriki katika shughuli hizi muhimu za kichama za CHADEMA kuonesha na kuthibitisha CHADEMA ndiyo chama pekee kilicho mioyoni mwa waTanzania kwa kuongea maendeleo ya watu wote kiuchumi, kielimu, huduma za kijamii kama afya, elimu na fursa za kutengeneza ajira na fursa za kujiajiri badala ya kuzipeleka fursa za ajira China, Russia, Mashariki ya Kati, Ulaya na Marekani
 
Ndio
 
View attachment 3607279

13 June 2026
Iringa, Tanzania

1781383007596.jpeg
 
13 June 2026
Iringa, Tanzania

Wana wa Iringa vijana kwa wazee wasisitiza FREE TUNDU LISSU

1781383119893.jpeg
 
Back
Top Bottom