Wanafunzi wa vyuo waliodhalilishana wameudhihirishia umma kuwa elimu ya VETA ni muhimu kuliko elimu ya Chuo Kikuu.

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Ukweli mchungu!
Umalaya, ushoga, usagaji, na uhuni umekuwa kipaumbele kikubwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuliko elimu iliyowapeleka huko.

Wengi wanahitimu shahada zao na GPA kubwa za kwenye makaratasi kuliko kilichopo kichwani mwao - kwasababu ya rushwa za ngono na pesa.

Wakirudi majumbani njaa kali. Mbaya zaidi wengine wanapewa ajira kupitia rushwa ya ngono, pesa, na kujuana (shangazi-mjomba). Matokeo yake huko makazini kumejaa wafanyakazi wa ajabu waliokosa nidhamu na ufanisi kazini.

RIGHT MARKER
Dar es salaam
 
Kama graduate wa veta ndio kama wewe hatuendi 😀😀😀😀
 
Heshimu degree wewe sio watu wote wa huko vyuo vikuu ni wajinga kama hao mabinti....Halafu endelea kukomaa huko VETA
 
Back
Top Bottom