Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo walilolipa jina la Never Again, wakiwa na madhumuni ya kudumisha amani, hususani kwa wanafunzi Tanzania.
Mgeni rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Albert John Chalamila na viongozi wengine wa kiserikali.
Kuna msosi na magoma kibao ya chuo. Kama upo loose njoo ule hapa na uondoke na namba mbili tatu za wachumba.