Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu nchini kupuuza wanasiasa wanaopandikiza chuki na kuhamasisha vurugu kwa lengo la kupata madaraka.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza katika mkutano na viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka vyuo vilivyopo mkoani Mwanza, uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Kiliba amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani na mshikamano wa kitaifa, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.