wanafunzi wa vyuo vya cbe,udsm na veta wakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa kuuza miili yao

wanafunzi wa vyuo vya cbe,udsm na veta wakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa kuuza miili yao

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
wanafunzi wawili wa kike wanaosoma elimu ya juu chuo kikuu cha udsm na cbe ya dar pamoja na mwanafunzi wa chuo
chuo cha ufundi veta..wamefikishwa katika mahakama ya samora kwa kosa la kujiuuza...miili yao...

katika operation ya inayoendelea wilaya ya kinondoni inasemekana kwamba katika baa ya corner iliyopo sinza maeneo ya
africasana...kuwa katika operation inayoendesha na bwana charles kenyela..ya kuwakamata wanawake ndipo hapo ndipo katika kundi la wakina dada 21...watatu ndo waligundulika ni wanafunzi ...wanafunzi hawa majina yao ni

1.yasinta kilimo umri miaka 21...mwanafunzi wa c.b.e

2.morin masatu...umri miaka 20...mwanafunzi wa udsm

3.na watatu alijulikana kama khadija mwanafunzi wa chuo...veta.

kesi hiyoo...inayoendeshwa ambayo ipo chini ya hakimu william mtaki na muendesha mashitaka john kijumbe...kuwa
watuhumiwa hao wamerudishwa ndani kwa kukosa mdhamana au kulipa faini ya shillingi laki mbili

source:mpekuzi blog,michuzi blog na udaku specialy na watu waliokuwepo mahakamani leo...na kesho huenda ikaandikwa kwenye magazeti.....
 
Tatizo si kutafuta fedha,hao ni "sex maniac"...excess libido, yaani every time wao ni wa moto, moto,moto..yaani wana nge***nye, hutamani hata mwehu aende nae kama hajampta mtu wa kawaida,
 
Basi kuna wandawazimu watahusisha kujiuza kwao na vyuo wanavyosoma
 
Tuheshimu utu wa wenzetu jamani haina haja ya kutuwekea majina ya watu hapa kwenye individual issues kama hizi. Let us build a forum which has a sense of integrity, professionalism and constructive centered discussion. Hii ni indicator ya kwa nini mtu anaweza kutafuta kazi miaka nenda miaka rudi bila mafanikio kumbe anahitaji kuji-tune in totality
 
Yasinta kilimo huyu anayeishi upanga . Ambaye baba yake ni afisa wa bandari. Sitaki kuamini

Yote yawezekana maana pesa ni za baba yake na yeye anataka kutengeneza za kwa kwake kwa njia anayoijua yeye na ukute alishaweka malengo kila wiki atengeneze laki mbili akichanganya na mabuzi yake matatu ambayo hayajuani kwa mwezi ana milioni mbili, huo ni kama ugonjwa flani though sie watz huwa tunaziamini sana akili zetu na kujiona tupo sawa kumbe hatupo sawa (wanahitaji tiba hawa especially ya kujitambua na kutokata tamaa na maisha hivyo usishangae sana mdau)
 
Tuheshimu utu wa wenzetu jamani haina haja ya kutuwekea majina ya watu hapa kwenye individual issues kama hizi. Let us build a forum which has a sense of integrity, professionalism and constructive centered discussion. Hii ni indicator ya kwa nini mtu anaweza kutafuta kazi miaka nenda miaka rudi bila mafanikio kumbe anahitaji kuji-tune in totality
Tatizo wameshatajwa kwenye source mbalimbali hata hivyo ni watuhumiwa bado mahakama ina role ya kuwasafisha kwamba sio vyangudoa siku hukumu ikitoka japokuwa watz tumeshazoea ukishakamatwa na polisi tayari conclusion inatoka kumbe walienda kugonga vihepe na mavazi ya wanachuo wa siku hizi yalivyo utatata mtupu wakawa included na wengine)
 
Yasinta kilimo huyu anayeishi upanga . Ambaye baba yake ni afisa wa bandari. Sitaki kuamini

Umalaya ni VICTIMLESS CRIME. hakuna Mtendewa. Crime kuwe na mtenda na mtendewa. Kama dada ameamua kujifaharisha ni uamuzi wake na mwili wake. wamemkamatia nini?
 
umalaya unakamilikaje pasipo kuwakamata wanaume? au hao wanaume wanaotembea nao hawatendi kosa? ili kampeni hii ifanikiwe wakamate wanaojiuza na wateja wao
 
Nakubaliana na wewe kabisa,hii ni sheria kandamizi,sijaelewa hadi leo awa malaya wanawashitaki kwa kifungu gani cha sheria,najua kuna sheria dhid ya kumiliki danguro,lakini mtu umemkuta pub,mwanafunzi wa chuo etc au umemkuta mtaani kasimama,ni vigezo gani unavyotumia kujua kuwa huyu anajiuza?je kuna biashara isiyo na mnunuzi,na hata kama ungemkuta na mwanaume wana do utajuaje na kuthibitisha kuwa yule mwanaume kauziwa?kwa hiyo wanawake wneye mini wasitembelee maeneo hayo ?nina uhakika awa kina dada wanaweza kufungua kesi ya madai ya kudhalilishwa na wakapata fidia
 
Back
Top Bottom