Wanafunzi wajawazito Kenya wafanya mitihani ila wazazi watahojiwa

Wanafunzi wajawazito Kenya wafanya mitihani ila wazazi watahojiwa

tukiacha ushabiki (uzalendo uchwara) kenya wanatuzidi sana namna ya kufikiri na kukabiliana na matatizo (kwa viongozi wenye dhamana)

kwa wananchi wa kawaida wanatuzidi wizi ila kwa ujanja wa kijinga tuko vyema.
Huo ni ujinga. Hatuwezi kutoa pesa za bure kusomesha wazazi...Kama chilazima tuwe na msimamo...
 
Jombaa, mwanafunzi wa kidato cha pili Tz akija Kenya huwa anarudishwa hadi darasa la sita, wa kidato cha kwanza, darasa la tano. Wapo wengi mashuleni kule kwetu Kajiado County. Uliza mtz yeyote ambaye amesomea Kenya, shule ya msingi au sekondari, akiwa mkweli atakueleza tu.
Kumbe upo Kajiado๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Safi sana Kenya.

Serikali ya Kenya ina human face.

Huku kwetu Tanzania mtoto akibakwa na kupata mimba anapewa adhabu ya kukosa elimu katika maisha yake yote anaishia kuwa omba-omba mtaani na wakati mwingine wanavuka boda na kuja kuomba-omba huko Kenya.
 
Sometimes I wonder why these activists dont critisize china when it had a one child policy, any child born after the first child was not eligible for public school education or any public amenities like hospitals..And this worked very well, it detered population explotion and unnecesary dependency..
SO YES LET THOSE WHO WANT TO BEAR CHILDREN WHEN THEY ARE SCHOOLING NOT BENEFIT FROM FREE SECONDARY EDUCATION.
Says who? Not in Kenya. Wamefanya mitihani wao na baadaye wataitwa mashuleni. Hivi 'minor', mtoto ambaye hajafikasha miaka kumi na nane ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kweli kwamba anataka awe mjamzito? Si ni vijizee kama nyinyi ndio huwa mnawahadaa bila aibu ili mfaidi baada ya kushindwa kuwatongoza maslay queen? [emoji1] Alafu ukimnyima mama elimu ndio utakuwa umemhukumu mtoto asiye na hatia, maanake bila elimu umasikini huwa unabisha mlangoni.
 
Tatizo hawatakua wamekidhi elimu ya Kikenya, watapata tabu, bora muendelee kujazana huko bila elimu.....maisha ya kibongobongo.

Kenya muna elimu na nyinyi???hii wanayofanya wajawazito mitihani!!!

Na wanafaulu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana Kenya.

Serikali ya Kenya ina human face.

Huku kwetu Tanzania mtoto akibakwa na kupata mimba anapewa adhabu ya kukosa elimu katika maisha yake yote anaishia kuwa omba-omba mtaani na wakati mwingine wanavuka boda na kuja kuomba-omba huko Kenya.

Kwani wale omba omba wote wana mimba???
 
Wooi. Is that human?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Kenya kwanza mtu akibakwa azae mtoto huyo mtoto already anapata rights za education through birth automatically. Mzazi yeyote ambaye apeleki mtoto wake shule hukamatwa Kenya.
Safi sana Kenya.

Serikali ya Kenya ina human face.

Huku kwetu Tanzania mtoto akibakwa na kupata mimba anapewa adhabu ya kukosa elimu katika maisha yake yote anaishia kuwa omba-omba mtaani na wakati mwingine wanavuka boda na kuja kuomba-omba huko Kenya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hajui Akothee ni product ya hii kitu.
Says who? Not in Kenya. Wamefanya mitihani wao na baadaye wataitwa mashuleni. Hivi 'minor', mtoto ambaye hajafikasha miaka kumi na nane ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kweli kwamba anataka awe mjamzito? Si ni vijizee kama nyinyi ndio huwa mnawahadaa bila aibu ili mfaidi baada ya kushindwa kuwatongoza maslay queen? [emoji1] Alafu ukimnyima mama elimu ndio utakuwa umemhukumu mtoto asiye na hatia, maanake bila elimu umasikini huwa unabisha mlangoni.
 
Sipo Kajiado kwa sasa ila kule ndio kwetu kabisa. Certified savannah boy, through and through! Toning'o long'ui? Erooo kae moda ninye, umeuliza kwanini? Kwasababu kama sio mradi ama biashara, nani tembea!
Tuonueshe location ya GPS yako tu hakiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Kama haupo Kajiado nahama JF๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii video itawaonyesha how serious we are kwenye mimba za wanafunzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hivi hiyo itakuwa serikali au mlenda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sisi ukishikwa tunakusukuma ndani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jombaa, mwanafunzi wa kidato cha pili Tz akija Kenya huwa anarudishwa hadi darasa la sita, wa kidato cha kwanza, darasa la tano. Wapo wengi mashuleni kule kwetu Kajiado County. Uliza mtz yeyote ambaye amesomea Kenya, shule ya msingi au sekondari, akiwa mkweli atakueleza tu.

Ni kiingereza tu sababu,ulikuwa hujui[emoji23][emoji23][emoji23].

Siku hizi hawaonekani huko ujue shule za kiingereza zimekuwa nyingi sana huku.
 
Back
Top Bottom