MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #121
Buku saba wengi mliachwa kama mayatima maana mama hapendi misifa ya kijinga, yeye anapiga kazi, tena hataki hayo makundi kama ya kina Sabaya.sasa napataje tabu wakati mimi tayari nina maisha yangu,tena hujui unawezakuta niko sehemu salama kuliko nilipokuwa mwanzo,ila kawaida mwanadamu timamu haamui mambo kwa kutumia tumbo,kama mnavyofanya hapo nchi ya kitu kidogo.
kaanza na chanjo,watu wamezira kuchanja labda atalazimisha kukosa huduma kama mnavyofanywa hapo guinea pigs.
kaja na kuruhusu wazazi kusoma,tunasubiri sheria itakayoongoza hilo.usishangae ikabaki stori ikapita hivi hivi milele,pata mimba uone kama utarudi shule.
mradi wa bagamoyo,ndio tunaomba Mungu atupe uhai 7-10 yrs tutakuwa hapa tukimwombea jpm kwa maono yake kwamba yalikuwa sahihi sana.
nikukumbushe kitu,ccm ni ile ile.usijejinufaisha kwa ugomvi wao.
Ameamsha mazungumzo ya bandari ya Bagamoyo....hehehe nakumbuka mlivyokesha humu mkimtetea yule mzee kwa kuipiga chini, yule aliwachelewesha sana.