vulcan
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,742
- 2,459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛😛😛😛
Huna nidhamu unamtukana baba mzazi.Akili za mbwa hizi.
Wewe ni mpumbavu, kwani wajawazito sio watu? Mwogope Mungu. Kwa hiyo dharau uliyonayo unaweza umtafute mtoto na usimpate kamwe. What if your daughter will become pregnant at class 5 after being raped, will you kill her or chase her from your house? May God have mercy on you.
scientists are seen by research they publish, si kusema sema tu eti "sisi tunaheshimika" tuwaone mkipata nobel hata moja.
not noble, "nobel prizes" are prizes awarded annually for outstanding work in physics, chemistry, physiology or medicine, literature, economics, and the promotion of peace. 😛Noble ndio nini kusema,inatoka kwa Mungu au???acha uzwazwa basi.
scientists are seen by research they publish, si kusema sema tu eti "sisi tunaheshimika" tuwaone mkipata nobel hata moja.
kupata Elimu ni haki cha ajabu hata wa private sector nao wakiwa wajawazito hawatakiwa kufanya mitihani Tz
Simple, mtoto achague kusoma na kuwa mama,
Nilikuwa mwalimu wa kijitolea wakati fulani, wengi wA hawa watoto ni wajinga sana.
Wako radhi kukutongoza hadi Mwalimu.
Huo ni mtazamo wako ndio maana tunaita watoto below 18, lakin wapo pia waliobakwa, hadi leo wapo watu wengi maofisin wanalisaidia hili taifa ila walipata mimba wakiwa shuleSimple, mtoto achague kusoma na kuwa mama,
Nilikuwa mwalimu wa kijitolea wakati fulani, wengi wA hawa watoto ni wajinga sana.
Wako radhi kukutongoza hadi Mwalimu.
YWacha moto wa maji usioweza kuchoma nyumba.
Kilichokuumiza,ni mimi kushangaa nyinyi kisomesha wajawazito???fact is hiyo elimu anayoringia ndio hiyo wanayosoma mpaka wajawazito???vipi vibaka na wala unga wamesahaulika kweli???
No wonder mnatoka mkijua kuongea kiingereza pekee hapo shule,pumbaaavu.
Jirani zetu kawaida yenu ni kwamba hata mzaha kama huo kwenye masuala muhimu kama elimu huwa mnachukulia poa tu. Huku upande wa pili wanafunzi wa Kenya wakijiandaa kufanya mtihani wao wa kitaifa huwa wanapewa motisha na viongozi wa ngazi za juu kabisa serikalini.kupata Elimu ni haki cha ajabu hata wa private sector nao wakiwa wajawazito hawatakiwa kufanya mitihani Tz
Hahaha! [emoji1] The nobel is a very noble prize.not noble, "nobel prizes" are prizes awarded annually for outstanding work in physics, chemistry, physiology or medicine, literature, economics, and the promotion of peace. 😛
Ahaaa haaa haaa
kumbe huna taarifa.
ni nchi gani duniani iliyogundua kuwa panya anaweza kufundishwa kujua wapi land mines zipo. pia panya wamewezeshwa kujua mtu mwenye vimelea vya tuberculosis. please get a life, KNOW who are we in the science and technology.
TZ is not known for science and technology kakangu. As opposed to many things you claim TZ is great for, unfortunately science si kuongea tu hapa JF, look at this list of patent applications and see where Bongo lies. This is a good indicator of research going on in your country.
Countries ranked by Patent applications, residents
Another list 2017. Tell me where TZ even appears .
http://www.wipo.int/edocs/pubdocs/en/wipo_pub_941_2017.pdf
Propaganda za CCM mbovu sana.
kwa sisi watanzania ujinga ni mtaji mkubwa sana wa wanasiasa.......kweli kenya ni failed state haswa!!! litoto limeshazaa upuuzi mtupu halafu bado anapelekewa afanye mtihani hadi Hospitalini huu ni uendekezaji wa hali ya juuu mpuuz mtupu huu:,NB:Awe-amebakwa hajabakwa akizaa tu huyo ni mzazi tayari sio mwanafunzi...
Tuna mpango wa kuwaletea wajawazito waje wafanyie huko mtihani.
Mnaonaje???
I
Nakukumbuka sana jamaa ulivyokua unanadi sera za yule mzee mwenda zake, vipi naskia mama kabatilisha vyote na kuweka sawa, wanafunzi waliopata uja uzito wataruhusiwa kuendelea na elimu, sio kujaza mazombi mitaani isiyokua na elimu.
Dah! Yule mzee.....naomba sana Kenya tusiwahi kuteleza tukapata rais kama huyo mzee wenu, tunaweza kurudi nyuma tena mbali sana.
nyinyi mtaendelea kupewa walevi na vibaraka maana ndio asili yenu hapo kati.
sikunadi sera za mwendazake kizumbukuku,bali mwamba aliyaishi maisha halisi kichwani na mtaani,ndio sababu nikawa mfuasi wake,kenya mnataka rais kama huyu tuliye naye ili muendelee kiwa kinara ukanda huu katika kila sekta,sitashangaa wewe kukenua jino mpaka la mwisho.
taifa la mwanafunzi asiyeona tatizo kupata mimba ni faifa linalokuwa namsingi dhaifu sana dhidi ya future ya mwanamke,nikuulize wewe huko kwenu kenya mnatiana mimba na kuzalia shuleni,nyinyi wanaume mnapewa adhabu kwa kosa gani wakati mimba sio kilema???wakati nanyinyi mna ndoto zenu pia kupitia elimu??hata ushoga tusipokuwa serious watu kama nyinyi mtabinuana hadharani,inabidi mkiona tudai mtoto otherways ni mboko mchezee ili kuonyesha msisitizo.
Unapata wakati mgumu sana maana mama kazibadilisha zote hizo, chanjo ya corona, elimu kwa waja wazito na mengine mengi, mumepoteana huko CCM, naona yule Polepole kaanzisha sijui channel yake huwa anabwabwaja badala ajinyamazie kama Bashiru.