Wanafunzi wajawazito Kenya wafanya mitihani ila wazazi watahojiwa

Wanafunzi wajawazito Kenya wafanya mitihani ila wazazi watahojiwa

1844241.jpg
Kidzude, hawa hapa ni mahabusu wakikabidhiwa mtihani wao na waziri wa elimu mwenyewe, Amina Mohammed. Iweje tuwakubalie wao wafanye mtihani wa kitaifa alafu tuwanyime wanafunzi wajawazito?
1844347.jpg
vgtwrufw8a2qvwpg5641ca421ef58.jpg
Baadhi ya hawa hapa wanaofanya mtihani wao wanatumikia kifungo cha maisha Kodiaga Prison, Kisumu.
 
Nipo Njiapanda, yaani sijui niwapongeze au niwaponde. Na je huko kwenu sheria ya mapenzi ya jinsi moja ipoje?.
Huku mashoga tunasukuma ndani..
Wasagaji, sukuma ndani....
Wanafunzi wajazito, tunawafukuza shule kwa maana hatusomeshi wazazi.
Watoto tunafyatua kwa idadi tunayotaka.
 
1844241.jpg
Kidzude, hawa hapa ni mahabusu wakikabidhiwa mtihani wao na waziri wa elimu mwenyewe, Amina Mohammed. Iweje tuwakubalie wao wafanye mtihani wa kitaifa alafu tuwanyime wanafunzi wajawazito?
1844347.jpg
vgtwrufw8a2qvwpg5641ca421ef58.jpg
Baadhi ya hawa hapa wanaofanya mtihani wao wanatumikia kifungo cha maisha Kodiaga Prison, Kisumu.
Bravo. That's good haya ndio ya kuyatangaza duniani cnn na BBC. Maana hata magereza ya usa ni worse kuliko yetu huku kwetu.
 
Huku kwetu wasichana wajawazito wapo matatani sana sababu ya sheria uchwara.
Hongereni kwa hili
Elimu ni haki ya msingi
Waliowapa mimba wako wapi. Je hawa watoa fedha wapo tayari kujenga mabweni kupunguza mimba? Je sheria zinafuatwa Ili waliobakwa wapewe haki zao.
 
Kenya muna elimu na nyinyi???hii wanayofanya wajawazito mitihani!!!

Na wanafaulu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mpumbavu, kwani wajawazito sio watu? Mwogope Mungu. Kwa hiyo dharau uliyonayo unaweza umtafute mtoto na usimpate kamwe. What if your daughter will become pregnant at class 5 after being raped, will you kill her or chase her from your house? May God have mercy on you.
 
Huo ni ujinga. Hatuwezi kutoa pesa za bure kusomesha wazazi...Kama chilazima tuwe na msimamo...
huna ulijualo, kasome ilani ya ccm juu ya wanafunzi wapatao mimba inasemaje.
 
kweli kenya ni failed state haswa!!! litoto limeshazaa upuuzi mtupu halafu bado anapelekewa afanye mtihani hadi Hospitalini huu ni uendekezaji wa hali ya juuu mpuuz mtupu huu:,NB:Awe-amebakwa hajabakwa akizaa tu huyo ni mzazi tayari sio mwanafunzi...
 
sisi huku f5 wetu wanasomba kitabu cha physics almaarufu kama up (university physics). hata waingereza sisi wanatuheshimu kwa masomo ya science.
scientists are seen by research they publish, si kusema sema tu eti "sisi tunaheshimika" tuwaone mkipata nobel hata moja.
 
kweli kenya ni failed state haswa!!! litoto limeshazaa upuuzi mtupu halafu bado anapelekewa afanye mtihani hadi Hospitalini huu ni uendekezaji wa hali ya juuu mpuuz mtupu huu:,NB:Awe-amebakwa hajabakwa akizaa tu huyo ni mzazi tayari sio mwanafunzi...
that is why mtabaki hapo kwenu mkifanya uganga..An educated population is better than mines of Tanzanite and Diamonds.
 
Back
Top Bottom