Wanafunzi wajawazito Kenya wafanya mitihani ila wazazi watahojiwa

tukiacha ushabiki (uzalendo uchwara) kenya wanatuzidi sana namna ya kufikiri na kukabiliana na matatizo (kwa viongozi wenye dhamana)

kwa wananchi wa kawaida wanatuzidi wizi ila kwa ujanja wa kijinga tuko vyema.
Huo ni ujinga. Hatuwezi kutoa pesa za bure kusomesha wazazi...Kama chilazima tuwe na msimamo...
 
Kumbe upo KajiadoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Safi sana Kenya.

Serikali ya Kenya ina human face.

Huku kwetu Tanzania mtoto akibakwa na kupata mimba anapewa adhabu ya kukosa elimu katika maisha yake yote anaishia kuwa omba-omba mtaani na wakati mwingine wanavuka boda na kuja kuomba-omba huko Kenya.
 
Says who? Not in Kenya. Wamefanya mitihani wao na baadaye wataitwa mashuleni. Hivi 'minor', mtoto ambaye hajafikasha miaka kumi na nane ana uwezo wa kufanya maamuzi ya kweli kwamba anataka awe mjamzito? Si ni vijizee kama nyinyi ndio huwa mnawahadaa bila aibu ili mfaidi baada ya kushindwa kuwatongoza maslay queen? [emoji1] Alafu ukimnyima mama elimu ndio utakuwa umemhukumu mtoto asiye na hatia, maanake bila elimu umasikini huwa unabisha mlangoni.
 
Tatizo hawatakua wamekidhi elimu ya Kikenya, watapata tabu, bora muendelee kujazana huko bila elimu.....maisha ya kibongobongo.

Kenya muna elimu na nyinyi???hii wanayofanya wajawazito mitihani!!!

Na wanafaulu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwani wale omba omba wote wana mimba???
 
Wooi. Is that human?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Kenya kwanza mtu akibakwa azae mtoto huyo mtoto already anapata rights za education through birth automatically. Mzazi yeyote ambaye apeleki mtoto wake shule hukamatwa Kenya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hajui Akothee ni product ya hii kitu.
 
[emoji1612][emoji1612][emoji1612] Am a big fan of Kajiado county.
Sipo Kajiado kwa sasa ila kule ndio kwetu kabisa. Certified savannah boy, through and through! Toning'o long'ui? Erooo kae moda ninye, umeuliza kwanini? Kwasababu kama sio mradi ama biashara, nani tembea!
 
Sipo Kajiado kwa sasa ila kule ndio kwetu kabisa. Certified savannah boy, through and through! Toning'o long'ui? Erooo kae moda ninye, umeuliza kwanini? Kwasababu kama sio mradi ama biashara, nani tembea!
Tuonueshe location ya GPS yako tu hakikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kama haupo Kajiado nahama JFπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii video itawaonyesha how serious we are kwenye mimba za wanafunziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hivi hiyo itakuwa serikali au mlendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sisi ukishikwa tunakusukuma ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Ni kiingereza tu sababu,ulikuwa hujui[emoji23][emoji23][emoji23].

Siku hizi hawaonekani huko ujue shule za kiingereza zimekuwa nyingi sana huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…