Serikali yenyewe haijui inaelekea wapi.Tuseme nchi imelemewa na wanafunzi. Fomu one hakuna vyumba, na wakimaliza vyuo wakajiajiri.
Mwingine kasema zaeni yeye atajenga shule . Mwingine kasema madarasa hayatoshi.
Sawa.
Uongo duniani kuna watu maskini lakini hakuna population maskini. Population ingekuwa maskini Bhakresa na akina Mo Dewji na akina Reginald Mengi wasingekuwa mabilionea umaskini ni wa baadhi ya watu sio wa population hiyo vicious circle inazunguka kwa baadhi ya watu wabunge wa Chadema waliomaliza muda wao hiyo vicious circle haiwahusu wana milioni 200 kiinua mgongo kibindonj poverty is a personal issue it has nothing to do with populationStupid idea. Kama hao population ni masikini unategemea nini?Vicious cycle siyo ?
Ndio anasomesha elimu bureMagufuli si alisema tufyatue watoto atasomesha au unabisha nae?
Naongea kuhusu majority. Unaleta hao minor. Stupid ideas.Uongo duniani kuna watu maskini lakini hakuna population maskini. Population ingekuwa maskini Bhakresa na akina Mo Dewji na akina Reginald Mengi wasingekuwa mabilionea umaskini ni wa baadhi ya watu sio wa population hiyo vicious circle inazunguka kwa baadhi ya watu wabunge wa Chadema waliomaliza muda wao hiyo vicious circle haiwahusu wana milioni 200 kiinua mgongo kibindonj poverty is a personal issue it has nothing to do with population
Hata walimu wakuuNa walimu wana shift?
Majority ya watanzania ni homeless kama wa ulaya na marekani? Ulishawahi muona mtanzania homeless mwenye nguvu zake na skill timamu kama iliyo ulaya na marekani ambayo kuna homeless kibao wenye nguvu akilil na hadi degree?Naongea kuhusu majority. Unaleta hao minor. Stupid ideas.
That smile........Tuseme nchi imelemewa na wanafunzi. Fomu one hakuna vyumba, na wakimaliza vyuo wakajiajiri.
Mwingine kasema zaeni yeye atajenga shule . Mwingine kasema madarasa hayatoshi.
Sawa.
Acha uongo. Homeless Marekani ama Ulaya ni umejitakia mwenyewe. Yaani Ulaya wana nyumba social zinazowalenga wenye vipato vya chini. Hivi unajua Ulaya walemavu wanalipwa wana allowance kila mwezi kutoka serikalini.Majority ya watanzania ni homeless kama wa ulaya na marekani? Ulishawahi muona mtanzania homeless mwenye nguvu zake na skill timamu kama iliyo ulaya na marekani ambayo kuna homeless kibao wenye nguvu akilil na hadi degree?
Victorie bringer of bad news.Acha uongo. Homeless Marekani ama Ulaya ni umejitakia mwenyewe. Yaani Ulaya wana nyumba social zinazowalenga wenye vipato vya chini. Hivi unajua Ulaya walemavu wanalipwa wana allowance kila mwezi kutoka serikalini. Hapa Tanzania walemavu hawalipwi hata centi,hadi wanatumiwa kama fursa. Hapa Tanzania watu wanalala na mbuzi ndani 😭.
Hao wanapenda. Au ni wahamiaji haramu. Kuna wengine wakipelewa kwenye nyumba za social ,still wanarudi mtaani. London kwa mfano wengi waliopo mtaani ki maalicoholic.Victorie bringer of bad news.
Do you know that 12% of US Citizens are homeless and sleep on the street?
Siku nyingine ukiongelea Ulaya uwe unataja nchi maana hata Ureno iko Ulaya.
Sawa mpwa?
Sasa mnakusanya kodi zanini?! Mbwiga weweUzae watoto kama simbilisi usubiri wizara ya elimu, ije kufanya nini?
Kujilipa mishahara posho kutembelea ma veiteee na sio kuwahudumia wapuuzi masikini kama weweSasa mnakusanya kodi zanini?! Mbwiga wewe