Wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza Dar kusoma kwa zamu

Wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza Dar kusoma kwa zamu

Tuseme nchi imelemewa na wanafunzi. Fomu one hakuna vyumba, na wakimaliza vyuo wakajiajiri.

Mwingine kasema zaeni yeye atajenga shule . Mwingine kasema madarasa hayatoshi.

Sawa.
Serikali yenyewe haijui inaelekea wapi.
 
Stupid idea. Kama hao population ni masikini unategemea nini?Vicious cycle siyo ?
Uongo duniani kuna watu maskini lakini hakuna population maskini. Population ingekuwa maskini Bhakresa na akina Mo Dewji na akina Reginald Mengi wasingekuwa mabilionea umaskini ni wa baadhi ya watu sio wa population hiyo vicious circle inazunguka kwa baadhi ya watu wabunge wa Chadema waliomaliza muda wao hiyo vicious circle haiwahusu wana milioni 200 kiinua mgongo kibindonj poverty is a personal issue it has nothing to do with population
 
Kama mzazi una uwezo kidogo ni bora kumpeleka mwanao private school. Shift [emoji849][emoji849]
 
Uongo duniani kuna watu maskini lakini hakuna population maskini. Population ingekuwa maskini Bhakresa na akina Mo Dewji na akina Reginald Mengi wasingekuwa mabilionea umaskini ni wa baadhi ya watu sio wa population hiyo vicious circle inazunguka kwa baadhi ya watu wabunge wa Chadema waliomaliza muda wao hiyo vicious circle haiwahusu wana milioni 200 kiinua mgongo kibindonj poverty is a personal issue it has nothing to do with population
Naongea kuhusu majority. Unaleta hao minor. Stupid ideas.
 
Wahitimu watakua half baked.
Tunajenga reli kiwango Cha SGR wakati madarasa ambayo hayahitaji engineer Wala qs hatuna.
Hivi huu uongozi wa mkoa wa Dar ulikua haujui kwamba fomuwani wataongezeka? Wamekumbuka shuka kumekucha, halafu mwakani itakua hivi hivi?
Hebu nipeni huo uongozi niwafundishe PROACTIVE LEADERSHIP
 
Naongea kuhusu majority. Unaleta hao minor. Stupid ideas.
Majority ya watanzania ni homeless kama wa ulaya na marekani? Ulishawahi muona mtanzania homeless mwenye nguvu zake na skill timamu kama iliyo ulaya na marekani ambayo kuna homeless kibao wenye nguvu akilil na hadi degree?
 
Tuseme nchi imelemewa na wanafunzi. Fomu one hakuna vyumba, na wakimaliza vyuo wakajiajiri.

Mwingine kasema zaeni yeye atajenga shule . Mwingine kasema madarasa hayatoshi.

Sawa.
That smile........
 
Majority ya watanzania ni homeless kama wa ulaya na marekani? Ulishawahi muona mtanzania homeless mwenye nguvu zake na skill timamu kama iliyo ulaya na marekani ambayo kuna homeless kibao wenye nguvu akilil na hadi degree?
Acha uongo. Homeless Marekani ama Ulaya ni umejitakia mwenyewe. Yaani Ulaya wana nyumba social zinazowalenga wenye vipato vya chini. Hivi unajua Ulaya walemavu wanalipwa wana allowance kila mwezi kutoka serikalini.

Hapa Tanzania walemavu hawalipwi hata centi,hadi wanatumiwa kama fursa. Hapa Tanzania watu wanalala na mbuzi ndani 😭.
 
Acha uongo. Homeless Marekani ama Ulaya ni umejitakia mwenyewe. Yaani Ulaya wana nyumba social zinazowalenga wenye vipato vya chini. Hivi unajua Ulaya walemavu wanalipwa wana allowance kila mwezi kutoka serikalini. Hapa Tanzania walemavu hawalipwi hata centi,hadi wanatumiwa kama fursa. Hapa Tanzania watu wanalala na mbuzi ndani 😭.
Victorie bringer of bad news.
Do you know that 12% of US Citizens are homeless and sleep on the street?
Siku nyingine ukiongelea Ulaya uwe unataja nchi maana hata Ureno iko Ulaya.
Sawa mpwa?
 
Victorie bringer of bad news.
Do you know that 12% of US Citizens are homeless and sleep on the street?
Siku nyingine ukiongelea Ulaya uwe unataja nchi maana hata Ureno iko Ulaya.
Sawa mpwa?
Hao wanapenda. Au ni wahamiaji haramu. Kuna wengine wakipelewa kwenye nyumba za social ,still wanarudi mtaani. London kwa mfano wengi waliopo mtaani ki maalicoholic.
 
Kwani si kuna makadirio ya ufaulu kwa kila mwaka? Ama la vyumba vya madarasa viongezwe.
 
Na kuanzia mwaka 2022 ndoo kitaeleweka haswaa make matokeo ya elimu bure inaanza kutapika.Huku mashuleni madawati na vyumba vya madarasa vimekuwa shida kweli kweli baada ya elimu bure kuwepo lakini sioni uthubutu wa serikali kulitatua hili.
 
Jamani wana jamvi nimejiuliza maswali mengi kuhusiana hili janga la wanafunzi kukosa madarasa kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza nimebaki najuliza majukumu ya wizara kwa sasa ni kutunga matokeo ya mitihani ya kitaifa tuu na ufanyikaje wake?!

Maanake naona majukumu yote wamewaachia TAMISEMI. Ndalichako mwenyewe jimbo lake lina matatizo mengi moja wapo ikiwa ni wanafunzi kukosa vyumba vya madarasa lakini yupo yupo baada ya huu uzi utasikia kesho ameanza nayeye kuongelea madarsa ya watoto.

Ashirikiane na mhe Seleman jaffo ili watoto waweze kupata madarasa usikae kula per diem tuuu hapo ofisini
 
Jamani wana jamvi nimejiuliza maswali mengi kuhusiana hili janga la wanafunzi kukosa madarasa kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza nimebaki najuliza majukumu ya wizara kwa sasa ni kutanga matokeo ya mitihani ya kitaifa tuu na ufanyikaje wake?

Maanake naona majukumu yote wamewaachia tamisemi.

Ndalichako mwenyewe jimbo lake lina matatizo mengi moja wapo ikiwa ni wanafunzi kukosa vyumba vya madarasa lakini yupo yupo baada ya huu uzi utasikia kesho ameanza nayeye kuongelea madarsa ya watoto.

Ashirikiane na mhe suleiman jaffo ili watoto waweze kupata madarsa usikae kula per diem tuuu hapo ofisini
 
Back
Top Bottom